Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

time will tell mkuu, hata mr nice kabla ya kufulia alipiga show moja kali sana,tena ya kihistoria pale Rwanda..ukishafika peak kinachofuata ni kushuka tu..that is a principle mkuu

usibishane nao hawa
wamevurugwa toka waangushwe leaders hamu hawana tena
asa hv kila anapoitwa kwenye shoo watakurupuka
ila mimi nimewadharau sanaaaa
kwa uongo huuuuuuuuu
hamna nyimbo nyie kina elnino mnawayawaya na kukurupuka na mathread alfajir ili muwe wa kwanza kuposti
 
kama ni mkali kihivyo akodishe uwanja wa taifa. Na yeye apige million 427 kama mechi ya Simba na Yanga.
 

Diamond na Ya Moto Band wanasimamiwa kwa pamoja na said fella pamoja na Babu Tale
 
Acheni kupotosha Diamond hajandaa show mlimani city zaidi ya kualikwa kama mtumbuizaji yeye pamoja na wasanii wengine kusherekea siku ya msanii wa Afrika.
 
Acheni kupotosha Diamond hajandaa show mlimani city zaidi ya kualikwa kama mtumbuizaji yeye pamoja na wasanii wengine kusherekea siku ya msanii wa Afrika.

Kwanini waalikwe wao tu..
 
Kiba anafanya lini show MLIMANI CITY.??
 
Na diamond kainfluence sana wasanii wa bongo uyo ali kiba mwenyewe anafata nyendo za mdogo wake nae anastruglle hard akiwa jukwaani not like before anacheza kimtindo na crew yake cyo kama before alkua anajikuta super star na hata kwa wengine pia diamond kawa mfano kwako wabishi wakajichimbie shimon
 
So leo ndo mmeona muziki una thamani?? Hhahahaa..
 
Chameleone anafanya show december inaitwa One Man Show One Milioni, kiingilio pale Munyonyo Resort kampala itakuwa ni milioni moja! Tuwaombee wasanii wetu wafike level hiyo ila kutokana na nyodo za Diamond sioni akifika huko
 
Mimi na crew langu tutahudhuria hyo kitu kwa mara nyingne tena,Diamond ndo best ktk stage hapa bongo
 
zomea zomea ni mkakati wa clouds fm kumfifisha hii show itatangazwa na nani? ruge anajitaidi ku monopolise hii suala hapa bongo anajua hawez kumuattack diamond head on kama anavyofanya kwa jide ila anatumia technic za fitana kama cku ile kuandaa zomea zomea nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…