Diamond kwa sasa hana Baba, ukweli mchungu

Mondi katika upande huu mi namuona boya Sanaa.......kitachomtoa machozi ni nn siku ikitokea mzee huyu akafariki?
 
Kama Mzee Abdul alizingua muache avune alichopanda,kama Mzee Abdul aliendekeza bata akatelekeza familia mwache yamkute na yeye!! Amtafute Queen Darleen amsaidie sio lazima DAYAMONDI.


Kweli kabisa, mwana wa Nyoka ni Nyoka,
Yeye hakumsaidia alidhani atamzaa mtoto atakayemsaidia?
 
Usilojua ni kwamba Mama Diamond ndio kila kitu kwa Diamond. Ndio anampangia kila kitu. Nimewahi kufanya kazi na WCB kwa vipindi Fulani kipindi Makao makuu ya WCB yalipokuwa pale sinza.


Diamond sio kwamba hataki kumsaidia mama Yale ila Mama Diamond ndio hataki kabisa kusikia masuala ya Baba diamond. Nyie muoneni vile vile yule mama ni noma.


Nadhani mnajua kuwa Diamond na QUEEN DARLIN kuwa wanashea Baba. Siku moja Queen Darlin kamuita Kaka Yake Diamond chumbani akamwambia kuwa waangalie namna ya kumsaidia Baba yao. Mama Diamond alikuwa anawasikiliza dirishani, mpaka leo Huyo mama haziungi kabisa na Queen Darlin. Kuna wapuuzi watakuja kuleta ushabiki ila ndio hivyo.


Yule mama ana roho mbaya sana akikukataa jua huna chako kwa Diamond.
 

Diamond na Baba yake wametumika kama Case study boss. Enjoy your day
 
Shukrani mkuu...vyema kusaidia wenye uhitaji
Hii ingefaa kuwa uzi kamili, kuna kitu cha kujifunza, Asante kwa ku_share hii habari, kuna watu wanapitia njia ngumu mno hapa duniani na wanahitaji misaada kama hii.
 
Mkuu, hongera sana kwa moyo huo! Nina binti ana ujauzito wangu, sina kipato kikubwa hali inayopelekea mama yake kumsimanga. Lkn binti ananisihi nisije waza kumuacha maana atapata shida sana. Hii comment, imenitia nguvu.
 
Usithubutu kabisa kumuacha,itakugharimu sana maana amebeba kiumbe chako...mimi moyoni mwangu nimeamua kumlea yule mtoto mpaka atakapokua mkubwa M/Mungu anipe afya na uhai tu...Na nitahakikisha mama ake namtafutia cha kufanya aleee watoto wake.Mungu akijaalia huu mwezi tunategemea ajifungue na namuomba sana Mungu aokoe maisha ya yule mtoto.
Mkuu, hongera sana kwa moyo huo! Nina binti ana ujauzito wangu, sina kipato kikubwa hali inayopelekea mama yake kumsimanga. Lkn binti ananisihi nisije waza kumuacha maana atapata shida sana. Hii comment, imenitia nguvu.
 
[


Na yeye bora atafute kazi ya kufanya sasa hivi baadae asije kulialia humu ametelekezwa wakati amevimba miguu. Watu wanashindwa kutafuta mali zao wanategemea lawama tu
Hakika mkuu,,tutafute pesa kwa juhudi sana,,

Hilo ndy la muhimu,, hawa watoto wetu wa kufananishwa midomo na pua hawana muana ,,

Yasije yakatukuta ya baba diamond
 
Mkuu unajua maana ya kusamehe? Utasameheje afu ubaki na kinyongo moyoni?

Usiposamehe ujue unaishi na dhambi maana hata wewe huwezi kusamehewa na mwenyezi MUNGU.
 
Mkuu unajua maana ya kusamehe? Utasameheje afu ubaki na kinyongo moyoni?

Usiposamehe ujue unaishi na dhambi maana hata wewe huwezi kusamehewa na mwenyezi MUNGU.

Ukiweza samehe ila angalia usijegeuka mnafiki ukijifanya umesamehe wakati moyoni unakinyongo. Ni bora uonyeshe hujasamehe hata Mungu atakuelewa.
Alafu kusamehe sio lazima wala sio haki ya aliyefanya makosa, bali ukisamehewa jua ni neema tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…