Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

[emoji817] ,na masheikh hilo jukumu watalibeba wao,kwenye train watu wamezini wamecheza music kisha siku ya pili,mtu anakuja kufunguwa masjid na madrasa [emoji34][emoji34][emoji34],afu kesho ake anafanya show.

Nini hiki?
UPUMBAVU HUU.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mkatoliki yaani diamond anijengee mimi kanisa ana ubavu gani? Acha ajenge hivyo vijumba vidogo vidogo kanisa ni habari nyingine shehee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta huko chadema we ndio unaandaliwa kugombea ubunge...
Majanga!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa! Hivi huyu jamaa anajua gharama za kujenga kanisa au anasikia! Labda kujenga kigango! Makanisa ni maekalu pesa ndefu inaweza kumfilisi! Achaaaa!
 

Anaona Diamond ni serikali

Mwisho atampangia kuoa, kuvaa n.k

Hela yake
 


Mkuu kwa post yako hii wewe ndiye mdini, kumbuka kuwa suala la imani ni jambo binafsi la mtu na wala haifai kumuingilia.

Katika uislamu ibada zipo nyingi, swala ndiyo inaongoza na zingine zinafuata kama kufunga ramadhani, kwenda kuhiji makka, nk, kutoa sadaka nayo ni ibada, sasa katika mafundisho ya uislamu kuna sadaka za aina 2, ya kwanza ni sadaka isiyoendelea na pili sadaka inayoendelea kwa kadiri sadaka hiyo inapozidi kutumika, (sadaqatul jarriyah), sadaka za aina hiyo ni kama kujenga msikiti, kujenga kisima, kutoa elimu inayowafaidisha watu nk, sasa Diamond anapojenga msikiti anatekeleza moja ya fundisho la dini yake kwa jambo hilo nasema lipo chini ya nafsi yake wala hapaswi kuingiliwa na hata kama atashauriwa lakini hiyo itabaki chini ya uamuzi wake na asilaumiwe kwa hilo.

Katika kujenga misikiti ikumbukwe pia kuna madhehebu kibao ya Waislamu ambao nao wanayo hamu kubwa ya kujengewa misikiti na ujue kuwa Diamond anatoka katika dhehebu la Sunni waljamaa, sasa ikitokea Diamond ajenge kanisa kwa hayo madhehebu mengine ya kiislamu itakuaje??!!, kuna Shia, Ansar sunna, Ismailia, Ahmadiyya nk. Na hata tukija kwa Wakristo itakuwa hivyohivyo kwani kuna Katoliki, Anglikana, Sabato, lutheran, Wapentekoste,nk, sasa ajenge wapi na aache wapi??!!,

Ni bora aachwe mwenyewe aamue kwani hilo ni suala binafsi na tukilifanya suala la kidini/udini ni lazima litatumbuka nyongo.
 
Kanisa la Kristo halijengwi kwa hela haramu, watu wanaenda kufanya maovu uzinzi n.k kwa kwenda kwenye hayo matamasha then ukajengee kanisa, haikubaliki,
Mmh nyie huko kanisani kwenu hakuna makahaba, wachawi, wala rushwa? Tena hao ndio wanapewa heshima kwa kuwa wanatoa sadaka kubwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa unambwela sana,tujengewe kanisa na mfuasi wa allah unataka majini yaanze kujificha makanisani,na si kama ilivyozooleka yanakaa misikitini,ajenge hata viwanda na hospitali za waislamu tupu maana hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe wanaendekeza sana ubaguzi
 
Mtoa mada nadhani huna elimu yoyote kuhusu dini ya kiislam. Hiyo ni moja ya nguzo za dini ya kiislam. Diamond amewekeza na atapata thawabu kwa Mwenyezi Mungu. Haihusiani kabisa na udini wala sisi wakristo Hatuna shida nalo. Msitake kuleta ramli chonganishi hapa. Kanisa halijengwi na mtu linajengwa na waamini wa hilo kabisa. Rejea Ivory Coast rais wao wa miaka ile ya 80s na 90s Houphet Boigny alijenga kanisa kubwa sana akataka Papa akalizindue lkn wakamwambia resources ulizotumia si ungezitumia kuondoa umaskini nchini kwako?
 
Hivi wakristo tunaweza pokea nyumba ya ibada ilojengwa na wasanii? Hilo sina imani nalo sana. Kwenye dini yao nadhani hicho ni kitu cha kawaida sana
 
Msikiti lile Boma ata kwa laki 5 tu una jenga ..ila wakristu wa Bonho toka kanisa lianzishwe sizani kana walisha wai kumaliza ujenzi miaka yte wana changiaga tu u ujenzi wa kanisa [emoji81][emoji81][emoji81]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond aka baba paka.

Ana mitoto shule nzima lakini hana ndoa.
Mnaosema muislam huo ndio uislam?
Ukitaka kutoa aibu ya mwenzio anza na ya kwako

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Aise.. Kuna watu ni wajinga kufaa

Takataka hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…