Diamond kwepa hili mapema la udini. Fata ushauri wa Vanny Boy

Ni hatari sana, mambo hata ni magumu sana tuombeane tu
 
Watu wa MUNGU iweni macho. Shetani amejiingiza kwa siri kanisani.
 

Mkuuu kwenye udini naungama na ww,ila kwenye maisha Mengine ya mtu hachana nayo mkuu...Mwache tu Anguko lake litakuwa fundisho lake.
 
Nilijua tu lazima uwake ban 😝😝😝😝
Ukirudi pigana
 
Wasanii ni wengi mno acha kumpenda mondi wapende wengine,

Waambie wasanii wakristo wajenge makanisa muache ostaz mondi ajenge misikiti,
Kila mtu afanye yake mwenye kupenda upinzani na apende na mwenye kupenda ccm pia na apende,

Na akipata ubunge atapewa uwaziri,mwenye bahati ni mwenye bahati tuu hata ufanyeje mondi ataendelea kuwa juu juu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sugu na Prof J Ni chadema kindakindaki pia wanafanya mziki,shida iko wapi kwa diamond plat,,kuhusu kujenga tu misikiti me Sion shida yoyote

Sent using Keo
 
Ajenge kanisa,halafu mchungaji atakuwa nani?

Sisi wana wa kristo tunajiweza tukiwa kumi tu tunateua mchungaji tunachangishana,kanisa linajengwa baada ya miaka kumi tu boooooonge la kanisa na kondoo kama wote
 
Mimi ni Mkristo ila siungi mkono ulichokiandika. Tunajua Diamond ni Mwislam hivyo hatutegemei ajenge kanisa.
Sijaona baya alilofanya wala sidhani kama kwa mashabiki wenye kujielewa wataona tatizo wakati wakijua ni muumini wa dini ya Kiislam
 
Mkuu masheikh wanahusikaje hapo? Na pesa ya haramu si ya kwao Ni ya dimond??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…