Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ni hatari sana, mambo hata ni magumu sana tuombeane tuHii inanikumbusha kulikuwa na jamaa fulani mkoa mmoja sitautaja, huyo jamaa alifahamika kabisa kwamba yeye ni jambazi mkubwa (king pin) na kazi yake kubwa ilikuwa ni hiyo tu, alikuwa na maduka pia. Yeye alikuwa na kiti chake maalum cha kukaa kanisani siku za jumapili na siku ya jumapili asipokuja basi kiti chake huwa kitupu, hakai mtu hapo. Alikuwa anatoa fedha nyingi katika mchango wa "fungu la kumi", hivyo aliheshimika sana hapo kanisani kwa sababu hiyo licha ya kwamba ilikuwa wazi anajulikana kwa ujambazi wake. Lakini niliambiwa aliuawa kwa kupigwa shaba.
Hayo ndiyo mambo ya imani, 🤣🤣