Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio mbaya akijenga msikiti kama sehemu ya yeye kukumbukwa.
Kujenga shule iliyokamilika ki shule ni gharama kubwa mno kulinganisha na kujenga msikiti wa wastani. Mtu anajikuna anapofikia.
jogoo alitafuna punje ngap vile
Lakini msikiti utajengwa kutokana na hela za kukata k !!!Labda Kijenga msikiti atatulia sasa na kuacha kuvaa kata k!
Angejenga shule hata ya ufundi tu ingesaidia vijana wenzake ambao wanalegeza suruali na wanabana pua ila ndio hawatoki...wapate hata ufundi wa pikipiki tu uwasaidie kuanzisha maisha yasiyo tegemezi na yasiyo ya kuiga
Hivi we hujamshitukia huyu Heaven on Desert kuwa ndiye Diamondi mwenyewe maana hakuna mwingine anayeleta stori za diamondi hana tofauti na hemedi phd a.k.a Muuza SuraKwani kujenga msikiti mpaka uwatangazie watu!Anayejenga ili kujionyesha katika jamii au kwa kuguswa na Mungu wake?Mwambie huyo bwana mdogo aache kubadilisha wanawake wanaomzidi umri kila kukicha muislamu safi siku zote anaoa na si kuokoteza makahaba kila kukicha.Nadhani ni wakati mzuri kumurudia Mumba wake kwanza kabla ya kujenga msikiti.
Kwa hiyo una support pesa chafu kujenga nyumba ya Ibada? Mbona fedha zinazopatikana kwenye RIBA tena ya biashara halali mnaikataa? Jamani mbona hamuwleweki na hii Imani yenu? Mbombo ngafu kweli kweli.Sio mbaya akijenga msikiti kama sehemu ya yeye kukumbukwa.
Kujenga shule iliyokamilika ki shule ni gharama kubwa mno kulinganisha na kujenga msikiti wa wastani. Mtu anajikuna anapofikia.
Kama kaamua kujenga msikiti acha ajenge, kuhusu pesa zimepatikanaje hiyo hai-apply, anaweza kupata thawabu kwa kuwawezesha wacha mungu kupata sehemu ya kuswalia. Mungu ndiye anajua ni jinsi gani anahukumu kwa hiyo sisi tusimpangie hukumu kwa Diamond.Kwa hiyo una support pesa chafu kujenga nyumba ya Ibada? Mbona fedha zinazopatikana kwenye RIBA tena ya biashara halali mnaikataa? Jamani mbona hamuwleweki na hii Imani yenu? Mbombo ngafu kweli kweli.
shule ni lazima iwe kuanzia primary(1 mpaka la 7)?......... Au secondary form 1 mpaka 4.... Kuna shule za awali na kuendelea hata sebule yako inatosha kusomeshea......
Watoto wengi wa kiislam si wote... Ukichukua takwimu hawajaenda shule za awali ..... Ukiangalia walikuwa wanaenda madrasa tu...unategemea nn akienda shulevhaelewi kitu... Mfano hai ninao tena hapa hapa mtaani kwetu
Sasa ndo'tusubiri kuona wanaojua au kufahamu "haramu" na "halal" baina yenu, maana mu wepesi kuchanganua kupitia walio tofauti na imani yenu.