Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

Diamond: Msimamo wangu wa kujenga msikiti bado uko pale pale!

Weeee sio wenye iman ya diamond ye kataka kujenga msikiti kivyake na dini haijamtuma na kujenga kwake huo mckiti sio uchamungu...
He better watch t akajenga mckiti na hko juu akaona nyota kwa maana haikua katika chumo la halali akaambulia pa empty
 
sio mbaya akijenga msikiti kama sehemu ya yeye kukumbukwa.
Kujenga shule iliyokamilika ki shule ni gharama kubwa mno kulinganisha na kujenga msikiti wa wastani. Mtu anajikuna anapofikia.

shule ni lazima iwe kuanzia primary(1 mpaka la 7)?......... Au secondary form 1 mpaka 4.... Kuna shule za awali na kuendelea hata sebule yako inatosha kusomeshea......

Watoto wengi wa kiislam si wote... Ukichukua takwimu hawajaenda shule za awali ..... Ukiangalia walikuwa wanaenda madrasa tu...unategemea nn akienda shulevhaelewi kitu... Mfano hai ninao tena hapa hapa mtaani kwetu
 
Juzi tu hapa tumeambiwa kwamba Taasisi moja ya Kiislam imejenga Misikiti 700 na shule 7. Inamaana bado kuna tatizo la Misikiti hadi Diamond analilia kujenga kihivyo?
 
jogoo alitafuna punje ngap vile

Sitaki kucheka.....pesa zipatikanazo kwa njia ya ushirikina kama vile jogoo kutafuna punje tano hivyo kufanya mhusika kuishi miaka mitano....sasa huenda jamaa punje kadhaa zinaanza kufikia tamati....!
Kwa Yesu kuna raha!!!!
 
Kwani kujenga msikiti mpaka uwatangazie watu!Anayejenga ili kujionyesha katika jamii au kwa kuguswa na Mungu wake?

Mwambie huyo bwana mdogo aache kubadilisha wanawake wanaomzidi umri kila kukicha muislamu safi siku zote anaoa na si kuokoteza makahaba kila kukicha.

Nadhani ni wakati mzuri kumurudia Mumba wake kwanza kabla ya kujenga msikiti.
 
Tatz linalofanya nisimuamin huyu dogo huwa anapenda sana kujilamba na kilaza mkubwa kwa kuzungumza uwongo...... Anasema hil mara kaacha yaan fuul kujilamba nakumbuka mwaka juz alisema anajenga hotel ya nyota nne iko wap mpaka leo hatujasikia hata kutangza dalili za kujeng,,,,, ameona haitosha amesikia wat wanamsema kuhusu mamb ya kishirikina akaona alizime hili soo kwa kudai kuwa anamjengea mama yake nyumba ya ml.260
 
Hii haitaimsaidia Diamond kujisafisha na kuwa safi mbele za Mungu. Ashauriwe kujirekebisha na kumrudia Mungu; na hayo mengine ya kujenga au kutoa misaada yafuate.
 

Dogo anakusanya hela za kujengea msikiti kupitia album yake ya
"NATAKA KULEWA (POMBE)" !!!


attachment.php
 
Angejenga shule hata ya ufundi tu ingesaidia vijana wenzake ambao wanalegeza suruali na wanabana pua ila ndio hawatoki...wapate hata ufundi wa pikipiki tu uwasaidie kuanzisha maisha yasiyo tegemezi na yasiyo ya kuiga

kwakuwa ameibukia kwenye mziki angeanZisha kituo cha kujifunza mziki ili wakata K wenzake wapate manufaa
 
Wakuu hatuwezi kumtabiria mwenzetu kuwa hataenda peponi wakati bado yupo hai, maana anaweza akaongika na kuwaacha wale tuliowaona watakatifu wakiangamia kwa kuacha uchamungu. Msikiti ni Nyumba ya Mwenyezi Mungu hivyo kujenga hii Nyumba kunaweza kupelekea kuishi ktk nguzo tano za Dini hivyo tusimponde maana anachokifanya nikikubwa pia.
 
Kwani kujenga msikiti mpaka uwatangazie watu!Anayejenga ili kujionyesha katika jamii au kwa kuguswa na Mungu wake?Mwambie huyo bwana mdogo aache kubadilisha wanawake wanaomzidi umri kila kukicha muislamu safi siku zote anaoa na si kuokoteza makahaba kila kukicha.Nadhani ni wakati mzuri kumurudia Mumba wake kwanza kabla ya kujenga msikiti.
Hivi we hujamshitukia huyu Heaven on Desert kuwa ndiye Diamondi mwenyewe maana hakuna mwingine anayeleta stori za diamondi hana tofauti na hemedi phd a.k.a Muuza Sura
 
Jabulani umeona eeh! we si unaona muuza sura sasa kaenda likizo na stori za phd zimeenda likizo sasa kaja huyu diamondi kazi kwelikweli.
 
Last edited by a moderator:
Sio mbaya akijenga msikiti kama sehemu ya yeye kukumbukwa.
Kujenga shule iliyokamilika ki shule ni gharama kubwa mno kulinganisha na kujenga msikiti wa wastani. Mtu anajikuna anapofikia.
Kwa hiyo una support pesa chafu kujenga nyumba ya Ibada? Mbona fedha zinazopatikana kwenye RIBA tena ya biashara halali mnaikataa? Jamani mbona hamuwleweki na hii Imani yenu? Mbombo ngafu kweli kweli.
 
Kwa hiyo una support pesa chafu kujenga nyumba ya Ibada? Mbona fedha zinazopatikana kwenye RIBA tena ya biashara halali mnaikataa? Jamani mbona hamuwleweki na hii Imani yenu? Mbombo ngafu kweli kweli.
Kama kaamua kujenga msikiti acha ajenge, kuhusu pesa zimepatikanaje hiyo hai-apply, anaweza kupata thawabu kwa kuwawezesha wacha mungu kupata sehemu ya kuswalia. Mungu ndiye anajua ni jinsi gani anahukumu kwa hiyo sisi tusimpangie hukumu kwa Diamond.
Hivi una uhakika gani kuwa hizi pesa zilizojengewa/zinazojengewa makanisa mengine na misikiti mingine ni za halali.

shule ni lazima iwe kuanzia primary(1 mpaka la 7)?......... Au secondary form 1 mpaka 4.... Kuna shule za awali na kuendelea hata sebule yako inatosha kusomeshea......

Watoto wengi wa kiislam si wote... Ukichukua takwimu hawajaenda shule za awali ..... Ukiangalia walikuwa wanaenda madrasa tu...unategemea nn akienda shulevhaelewi kitu... Mfano hai ninao tena hapa hapa mtaani kwetu

Sidhani kama waislamu wanahitaji sana kujenga shule za awali na shule za msingi, kwa sababu shule hizo zipo nyingi tu za serikali na zisizo za serikali ambazo wanaweza wakasoma.

Unapojenga shule vipandevipande yaani shule ambayo haijakamilika na huna uelewa wa ku-run shule ni upotevu wa muda na pesa kwa sababu zitatoa product chini ya kiwango. Kwa mfano, hata wewe umeona kuwa serikali wamekuja na shule za kata na wametoa product chini ya kiwango, wewe unadhani ni kwa nini? Angalia shule nyingi zinazomilikiwa na waislamu ambao wana taaluma kubwa zaidi ya Diamond ni jinsi gani zina perform. Something need to be done kuboresha vichache mlivyokua navyo na sio kuongeza shule nyingi zenye kutoa product za chini.

Umeeleza kuwa watoto wengi wa kiislamu wamekuwa wakipelekwa madrasa badala ya shule za awali, je unadhani wazazi wao hawazioni hizo shule za awali zilizopo kwa ajili ya watoto. Je una uhakika gani Diamond akijenga shule ya awali wazazi wataacha kuwapeleka watoto madrass ili wakasome shule za awali?
 
Watu pori ni watu wa ofyo kabisa. Wakipata kakitu kidogo tu wanapiga makedhedhe mpaka dyunia yote inasikia. Padhe Kariakoo kuna fyijana wa nyumbani wana hedha dhakini huwesi kusikia wanapayukapayuka namna hii. Ndiyo maana kidha siku nasema mwanangu wa kyike kamwe hatakaa aodhewe na kyasaka.
 
Wazo ni zuri sana amewaza dogo ila kama angejenga shule wazo lingekuwa zuri zaidi ila pesa ni yake vipaumbele ni vyake afanye aonavyo!
 
Sasa ndo'tusubiri kuona wanaojua au kufahamu "haramu" na "halal" baina yenu, maana mu wepesi kuchanganua kupitia walio tofauti na imani yenu.

Umekwisha wastua wataukataa huo msikiti ili kuonyesha kwamba wanayoyasema wapo sahihi.
 
Back
Top Bottom