Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.

Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakimsikitikia Hamisa Mobetto kwa kitendo chake cha kurudiana na Diamond wakati alitukanwa na kudhalilishwa na familia nzima lakini anaonekana kuziba masikio na kuendelea kula bata na mzazi mwenzie

Ikumbukwe jana ilikuwa ni uzinduzi wa mpenzi wa Diamond, Tanasha ambapo Diamond aliomba radhi kuwa amepata emergency nyumbani hivyo angeshindwa kuhudhuria event hyo ya baby mama wake.

Kama namuona Zari anavyokenua meno huko aliko. Na wewe Tanasha ndo ukome ulijua ukizaa na domo ndo atabadilika? Utaambia nini Wakenya, umebeba mimba na kuzaa umeambulia umaarufu na nyota yenyewe huna.


Basi ninavyomjua domo atafanya juu chini amvishe Pete Tanasha kumpooza.

Tanasha is so smart , beautiful and intelligent, anaweza kupata danga lolote la maana ndani na nje ya nchi kama Vannesa Mdee ila hapa kwa domo atapigwa matukio hadi arudi kwao Kenya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watajua hawajui in kashata's voice
 
Watu hawatoi miziki mpaka waanzishe drama hapo ujuwe wanataka kutoa nyimbo wanatjulia wa Tz kwa umbea tunapenda halafu hao wote wanatumiana kupata kick faida kwa wote hakuna mapenzi maana ujiulize kweli mtu nimezaa naye lakini akaniacha kwani hakuniona sasa nini kinamrudisha hajakiona huko. wanawake ni watu wajinga na wanatumiwa sana ila hapa wote wanaweza kuwa wanatumiana kwa faida ya kila mmoja. Mwanamme ambaye kila uhusiano mpaka azae huyo hana maana. Mimi nadhani mtoto mpya haja hit kama alivyokuwa akidhania au hakutoka as expected wanatafuta route nyingine ya kurudi katika drama za media mdada wa Kenya imebuma..
 
Hayo mambo hayatuhusu kabisa.
Hayo ni maisha yao binafsi, tusilazimishe wala kulazimishwa kuyajua. Tuwaache na watuache.
 
Back
Top Bottom