Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

Ila binamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bado nawaza mondi aliaga kua kapata emergency ya kifamilia ndio akaondoka kenya. Tanasha sio familia? Mbona akamuacha jaman
Huwezi kukosa muda kwa umpendaye
 
Hakuna lolote hiyo ni style ya mondi kuachana na vimada wake tangu mwanzo unapigwa matukio weeeee mpaka akili inakukaa sawa unaaga mashindano

Tanasha akajiona mjanja mwenyew akajua kapata mxieew[emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jf mnajuaje kama mtu kafa,naona hapo warumi Rip mna maana gani
Ukiachilia mbali majina bandia haya, wengi tunajuana physically kabisa. Kwa hio ukifariki tutajua tu, unless usiwe na rafiki kabisa ama hufahamiki kbs hapa JF. Sie wakongwe humu tunajuana na wengi sana na tumesaidiana sana kwenye mishe kibao za kimaisha.
 
Ushimen
 
Oh hapo wewe ndio nimekuelewa maana nilichokuwa nakijua ni kuwa wengi tunatumia account fake,asante kaka nimekuelewa 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom