Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande wangu hiyo habari siiamini kabisa hazina tofauti na zile tetesi za mondi kutoka na tesy chocolate Mara rose wanavumisha vitu ambavyo havina ushaidi lengo kuu wamuumize Tanasha kwa chuki zao binafsi kwa Tanasha.Zamani kwel mondi alikuwa mchepukaji na kulikuwa na ushaidi na mademu aliyotoa nao lakini tokea aingia na uhusiano na Tanasha jamaa katulia ile mbaya na inaonesha jamaa ana malengo ya dhati na Tanasha uwezi kuona Kuna video mond yupo na demu fulani hata tu kukumbatia mwanamke fulani tofauti na Tanasha huoni.
Mi nilistaajabu kingbae shoga kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv unajua mtu anayependa wewe?sijawahi kununua kazi ya msanii yoyote wa mziki, sijawahi kuuzulia kwenye show ya msanii yoyote hata kwa bure alafu nashangaa unaniambia Nina mahaba.
Naona hapo umemgusa warumi kunako wewe sio mtu mzuri kabisa.
Shida umeleta wakati mgumu umbea wako ndo maana haunogi.
Tuache tushugulikie mambo ya pompeo na bulldozer kwanza ndo habari za town zinazotrend.
Hamisa na Chibu denga watuache kwanza.
Umbea bana. Yaani haunaga ushahidi. Mtu anatoa habari halafu haweki video husika sisi tutaamini vp?
Sent using Jamii Forums mobile app
innocent dependent,
Dogo unaumwa
Yaani , lazima Diamond akijua ulivyo na mahaba kwake hata Hamisa anamwacha
Yule hakua King Bae, Fake king bae alikua ni mwingine na huyo Cedric ni mwingine , alikua tu anazuga watu
Huyo Cedric sio shoga ila anapenda sana company ya mashoga , c unajua kule south mashoga kama wote , so kule ni kawaida sana , yule kaka hana hayo mambo binamu sema tu ukaribu na lasizwe ambaye ni shoga maarufu SA ndo umemponza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio maana ukaambiwa umbea , sasa unataka ushahid wa nini kenge wewe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe ni wa kike au kiume? kwa jinsia yoyote uliyonayo natamani kukugongaSasa ushasema umbea unatak ushahidi wa nini ? Unanilipa au ? Mxieew
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya umeshinda Ila namna ulivyowasilisha umbea wako na namna ulivyotoa maoni yako umeonesha una uhakika jamaa anatoka na hamisa mobetto ndo me Nika comment hivyo ila sorry Kama comment yangu imekukwaza maana Hilo povu ulilotoa si la nchi hii.Ndio maana ukaambiwa umbea , sasa unataka ushahid wa nini kenge wewe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ukiangalia vizuri Kuna kitu kilichomfanya mondi afanye hivo diamond anachotaka music wa Tanasha ujiuze wenyewe ili isionekane anambeba ndo maana akamwachia event yake kijanja Wala hakuna tatizo lolote la familia.Wewe ujiulizi Tanasha anaudhuria show nyingi za mondi hapa bongo ikiwemo Wasafi festival lakini hakuna hata show moja aliyowahi diamond kumpandisha Tanasha jukwaani aimbe.Ila binamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bado nawaza mondi aliaga kua kapata emergency ya kifamilia ndio akaondoka kenya. Tanasha sio familia? Mbona akamuacha jaman
Iwe South, Marekani au Mombasa straight men can't hang out with the gays all the time. Company ya machoko mambo ya kichoko tu saa zote, sasa kama sio mmoja wao, how can you stand them?
Ila binamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bado nawaza mondi aliaga kua kapata emergency ya kifamilia ndio akaondoka kenya. Tanasha sio familia? Mbona akamuacha jaman
Kwa sababu sisi tumekulia uswahlin Ndio maana tuna mentality za ajabu, sasa kama mtu anatoa tako wewe inakuhusu nini ? , halafu wanaume hawanaga mda wa kuchukia watu wa hvyo, ukiona mtu anawachukia just know it’s one of them period
Sent from my iPhone using JamiiForums