Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

Nachompendea Warumi anakuchamba na kukusifia hapohapo.

Eti Tanasha ni Intelligent hapohapo hana nyota[emoji23]

Warumi wewe ni nyoko, usiwe unapotea hivyo mate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.

Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakimsikitikia Hamisa Mobetto kwa kitendo chake cha kurudiana na Diamond wakati alitukanwa na kudhalilishwa na familia nzima lakini anaonekana kuziba masikio na kuendelea kula bata na mzazi mwenzie

Ikumbukwe jana ilikuwa ni uzinduzi wa mpenzi wa Diamond, Tanasha ambapo Diamond aliomba radhi kuwa amepata emergency nyumbani hivyo angeshindwa kuhudhuria event hyo ya baby mama wake.

Kama namuona Zari anavyokenua meno huko aliko. Na wewe Tanasha ndo ukome ulijua ukizaa na domo ndo atabadilika? Utaambia nini Wakenya, umebeba mimba na kuzaa umeambulia umaarufu na nyota yenyewe huna.

Basi ninavyomjua domo atafanya juu chini amvishe Pete Tanasha kumpooza.

Tanasha is so smart , beautiful and intelligent, anaweza kupata danga lolote la maana ndani na nje ya nchi kama Vannesa Mdee ila hapa kwa domo atapigwa matukio hadi arudi kwao Kenya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kiki kwa Piki piki ,hawezi kutoa wimbo Bila MIKIKI YA PIKIPIKI.
 
Shida umeleta wakati mgumu umbea wako ndo maana haunogi.
Tuache tushugulikie mambo ya pompeo na bulldozer kwanza ndo habari za town zinazotrend.
Hamisa na Chibu denga watuache kwanza.
 
kwa kweli
 
Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.

Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakimsikitikia Hamisa Mobetto kwa kitendo chake cha kurudiana na Diamond wakati alitukanwa na kudhalilishwa na familia nzima lakini anaonekana kuziba masikio na kuendelea kula bata na mzazi mwenzie

Ikumbukwe jana ilikuwa ni uzinduzi wa mpenzi wa Diamond, Tanasha ambapo Diamond aliomba radhi kuwa amepata emergency nyumbani hivyo angeshindwa kuhudhuria event hyo ya baby mama wake.

Kama namuona Zari anavyokenua meno huko aliko. Na wewe Tanasha ndo ukome ulijua ukizaa na domo ndo atabadilika? Utaambia nini Wakenya, umebeba mimba na kuzaa umeambulia umaarufu na nyota yenyewe huna.

Basi ninavyomjua domo atafanya juu chini amvishe Pete Tanasha kumpooza.

Tanasha is so smart , beautiful and intelligent, anaweza kupata danga lolote la maana ndani na nje ya nchi kama Vannesa Mdee ila hapa kwa domo atapigwa matukio hadi arudi kwao Kenya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
KWANI NA WAO WAMEZUIWA KWENDA MAREKAN! HII SIO HABARI KUBWA KWANZA NANI ALIKUAMBIA KUWA WALIACHANAI
 
Wewe jamaa unajua sana kupenda. Hatari hiyo
Hiv unajua mtu anayependa wewe?sijawahi kununua kazi ya msanii yoyote wa mziki, sijawahi kuuzulia kwenye show ya msanii yoyote hata kwa bure alafu nashangaa unaniambia Nina mahaba.
 
Back
Top Bottom