Diamond na Hamisa wadaiwa kurudiana

Hi habari yako nimeshindwa kuamini cos hakuna sehemu yoyote uliotoa ushaidi zaidi ya kuzungumzia tetesi kingine zaidi nimeshangaa habari inahusu mondi na hamisa mambo ya zari yametoka wapi?unasema Mara zari anakenua atakenua kivp? wakati ana watoto watano sijui na Hadi sasa hiv ameachana na kingbae aache mambo yake yanayomkabili afuatilia mambo yasiomuhusu.hiv karibuni kulikuwa pia natetesi za mondi na rose hizo habari now zimekufa.
 
Sasa mkuu kweli yn unatuachia maelezo mafupi namna hii na unajua ulichokiandika ni muhimu kwa Sisi mabaharia tuonge hata kaekari 1 kigamboni nasi tuone yaliyomo

Sent using Jamii Forums mobile app

$500......yule na kale ka Officiallyn ndo bei zao. Lakini ni kama majini wale. Utarudi tu kila ukipata hela. Ni mafundi wale wanawake [emoji1544][emoji1544][emoji1544]
 

We nae achana na mimi bwana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ni kweli i feel sorry kwa Tanasha
Kwa upande wangu hiyo habari siiamini kabisa hazina tofauti na zile tetesi za mondi kutoka na tesy chocolate Mara rose wanavumisha vitu ambavyo havina ushaidi lengo kuu wamuumize Tanasha kwa chuki zao binafsi kwa Tanasha.Zamani kwel mondi alikuwa mchepukaji na kulikuwa na ushaidi na mademu aliyotoa nao lakini tokea aingia na uhusiano na Tanasha jamaa katulia ile mbaya na inaonesha jamaa ana malengo ya dhati na Tanasha uwezi kuona Kuna video mond yupo na demu fulani hata tu kukumbatia mwanamke fulani tofauti na Tanasha huoni.
 

Ni vizuri kama akitulia kwa sasa,ni wakati wake ajifunze kuheshimu mahusiano yake
 
Hakuna kipya hapo , mbn hata sisi na ma x zetu huwa tunarudiana tunapasha viporo

sent from toyota Allex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…