Wewe una uhakika gani hii habari ya ukweli ?nimesoma Uzi wote wa mtoa mada sijaona hata ushaidi wowote alio utoa tuamini habari yake.Anachokifanya huyu mwanetu kwa hawa dada zetu sio kitu kizuri hata kidogo ni fan wake ila haipendezi
Sent using Jamii Forums mobile app
$500......yule na kale ka Officiallyn ndo bei zao. Lakini ni kama majini wale. Utarudi tu kila ukipata hela. Ni mafundi wale wanawake [emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Kama wewe ulivyo na mahaba kwa mzee wa YebabaDogo unaumwa
Yaani , lazima Diamond akijua ulivyo na mahaba kwake hata Hamisa anamwacha
Kiki kwa Piki piki ,hawezi kutoa wimbo Bila MIKIKI YA PIKIPIKI.Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.
Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakimsikitikia Hamisa Mobetto kwa kitendo chake cha kurudiana na Diamond wakati alitukanwa na kudhalilishwa na familia nzima lakini anaonekana kuziba masikio na kuendelea kula bata na mzazi mwenzie
Ikumbukwe jana ilikuwa ni uzinduzi wa mpenzi wa Diamond, Tanasha ambapo Diamond aliomba radhi kuwa amepata emergency nyumbani hivyo angeshindwa kuhudhuria event hyo ya baby mama wake.
Kama namuona Zari anavyokenua meno huko aliko. Na wewe Tanasha ndo ukome ulijua ukizaa na domo ndo atabadilika? Utaambia nini Wakenya, umebeba mimba na kuzaa umeambulia umaarufu na nyota yenyewe huna.
Basi ninavyomjua domo atafanya juu chini amvishe Pete Tanasha kumpooza.
Tanasha is so smart , beautiful and intelligent, anaweza kupata danga lolote la maana ndani na nje ya nchi kama Vannesa Mdee ila hapa kwa domo atapigwa matukio hadi arudi kwao Kenya.
Sent from my iPhone using JamiiForums
😃😃😃jasusi mbobezi au sio
mambo yakuchambia shabu k hayoMnato ushirikina tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
kwa kweliShida umeleta wakati mgumu umbea wako ndo maana haunogi.
Tuache tushugulikie mambo ya pompeo na bulldozer kwanza ndo habari za town zinazotrend.
Hamisa na Chibu denga watuache kwanza.
😂😂 Eksipati.Eksipati wa ubuyu karudi mjini.
KWANI NA WAO WAMEZUIWA KWENDA MAREKAN! HII SIO HABARI KUBWA KWANZA NANI ALIKUAMBIA KUWA WALIACHANAIHabari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Hamisa Mobetto ambaye pia ni Mzazi mwenzie.
Video hyo inazagaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakimsikitikia Hamisa Mobetto kwa kitendo chake cha kurudiana na Diamond wakati alitukanwa na kudhalilishwa na familia nzima lakini anaonekana kuziba masikio na kuendelea kula bata na mzazi mwenzie
Ikumbukwe jana ilikuwa ni uzinduzi wa mpenzi wa Diamond, Tanasha ambapo Diamond aliomba radhi kuwa amepata emergency nyumbani hivyo angeshindwa kuhudhuria event hyo ya baby mama wake.
Kama namuona Zari anavyokenua meno huko aliko. Na wewe Tanasha ndo ukome ulijua ukizaa na domo ndo atabadilika? Utaambia nini Wakenya, umebeba mimba na kuzaa umeambulia umaarufu na nyota yenyewe huna.
Basi ninavyomjua domo atafanya juu chini amvishe Pete Tanasha kumpooza.
Tanasha is so smart , beautiful and intelligent, anaweza kupata danga lolote la maana ndani na nje ya nchi kama Vannesa Mdee ila hapa kwa domo atapigwa matukio hadi arudi kwao Kenya.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eksipati.
Kama wewe ulivyo na mahaba kwa mzee wa Yebaba
Hiv unajua mtu anayependa wewe?sijawahi kununua kazi ya msanii yoyote wa mziki, sijawahi kuuzulia kwenye show ya msanii yoyote hata kwa bure alafu nashangaa unaniambia Nina mahaba.Wewe jamaa unajua sana kupenda. Hatari hiyo