Diamond na kujimilikisha mali ambazo sio zake

Unapata tabu na maisha ya watu juzi umeanza na Idris leo Diamond.




 
Tatizo pesa watu wanazidiana hawawezi kuwa sawa kwa maisha aliyopotia yeye ni tajir sana kwa sasa
 
Kwakweli mambo ya Roll Royce yalianza kitambo kidogo aisee[emoji23][emoji23][emoji23]mpk sasa sijui imekuaje..nadhani Ile private jet iliyoanza kuzungumzwa 2021 tutaiona 2080...ila we konde fan umezidisha chumvi kwenye hii taarifa,jamaa hela anayo!![emoji125][emoji125][emoji125]
 
warumi mpaka sasa tushafunga ramadhani ya ngapi na skukuu ya Iddy itakua lini?
 
Wewe unamiliki nini???
 
Sasa nan mwingne anaemuamini huyu domkaya, zaidi ya chawa wa WCB.
Hili lijanaume liongo km nini, hata sijawahi kuliamini kwa chochote asemacho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vitu ambavyo diamond Hamiliki
1.hamiliki lebo
2.media
3.nyumba
4.magari
5.hotel
Vitu ambavyo diamond anamiliki/anavyo
Simu
Watoto/tena wengine wanasema sio wake
Nguo
Na viatu

[emoji23][emoji23][emoji23]ila wabongo tukiachana na usanii diamond ni mfanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…