Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Alhamdullilah tuko hai tunapata kuona na kusikia hizi habari na ukitaka matusi jaribu kusema sio kweli heeee heee pole Jay Z hauna ubavu wa kumchukua Diamond maana haufikii hata nusu ya mafanikio yake na hata collabo haupati iwe wewe au yeyote hapo kwenye label yako.
 
Kwani ajabu ni nini? hakuna linaloshindikana chini ya ni wewe tu jinsi unavyoweza kuona fursa na unavyojiweka,kama unahisi wewe ni inferior no one will make you superior,and viceversa
 

We utakua na matatizo unamfananisha Jazy na Neyo teh teh Neyo mwenyewe akikutana na Jazy nikama zali la mentali Acha kumfananisha Jazy na vitu vya kijinga
 
Duuu. Hizi kiki sasa zinaenda mbali. Labda RocNation ya sinza mapambano hiyo. Wana mkuu wao anaitwa Jay Z. Sie bongo si tunaiga maana tunao kina Amber rose, Kanye, Kim Kardashian na wengineo.
Sa we unabisha ulikiluwepo
 
We utakua na matatizo unamfananisha Jazy na Neyo teh teh Neyo mwenyewe akikutana na Jazy nikama zali la mentali Acha kumfananisha Jazy na vitu vya kijinga
Anaandika mgazeti, mbwembwe kibao + povu! Cha kushangaza sasa kaandika pumba ...eti Jay z ni sawa na ne-yo? Ukishaanza kuona msanii wa kimarekani except UN ambassador anatia tia timu Africa, ukweli ni kwamba kafulia period. Aache hebu kumfananisha Ba Blue Ivy na vitu vya kijinga jinga!
 
Acha MIKWARA wewe chaumbea..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…