Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Diamond: Niliwatolea nje Roc Nation ya Jay-Z

Hii chai ni tamu kwa team WCB & Co tena ni tamu haswa

Ila.simba punguza chai
 
Duuu. Hizi kiki sasa zinaenda mbali. Labda RocNation ya sinza mapambano hiyo. Wana mkuu wao anaitwa Jay Z. Sie bongo si tunaiga maana tunao kina Amber rose, Kanye, Kim Kardashian na wengineo.
Acha ushamba... cha ajabu nini?! Ni kwavile Diamond au Roc Nation hawawezi kumsaini mwanamuziki kutoka Afrika?! Si ni hao hao Roc Nation ambo mwaka jana walienda Nigeria kutafuta talents!! Au ni mara yako ya kwanza kusikia lable kubwa duniani inasaini wasanii kutoka Afrika? Btw, what's so special ndani ya Roc Nation ukilinganisha na Sony Music Entertainment ambayo imesaini Waafrika kibao?
 
Sioni ajabu kwa sababu Jay Zee ni mtu mdogo sana ukilinganisha na kina Richard Turnbull,Donald Cameroon lakini walikuja Africa na kutafuta watu wa kuwatimia katika malengo yao.Jay Zee ni mfanyabiashara na Diamond ni bidhaa kwa hiyo si kitu cha ajabu kuona Jay Zee akitaka kupata faida zaidi kupitia Almasi Platinum.Kinachomdatisha Jay Zee ni followers na Africa inakuja juu sana katika biashara ya music.Bila kusahau Illumin.....ati
Mi nashangaa watu wanavyoona kwamba ni big deal kiasi kwamba haiwezekani hilo jambo kutokea!! Halafu wanasahau Sony ni wakubwa kuliko Roc Nation lakini bado Sony imesaini wasanii kutoka Afrika! Na kitu kingine ambacho watu wanashindwa kukifahamu ndo hicho ulichokisema... Jay Z na Diamond wote ni wafanyabiashara ya muziki kwahiyo priority kwao ni biashara na mengine ndo yanafuata!
 
Inawezekana kuwa ni kweli. Malengo yake kwenye WCB yanaendana. Angekuwa na tamaa lazma angekuwa na lebel yoyote ili mradi lebel kubwa.
Kuna kitu watu hawajakielewa. Anachofanya Diamond ndicho mbele wanakifanya! Msanii anakuwa na label yake mwenyewe, na hii label ndiyo inaingia mkataba na label kubwa. Na ndio maana hata ukiangalia Sony Music Entertainment, kuna utitiri wa labels nyuma yake ambazo wameingia nazo mkataba! Na wale jamaa (artists na label zao) wanafanya hivyo ili ku-cut cost magumashi za label kubwa ambazo ni pasua kichwa... na mbaya zaidi at the end of the day unaweza kukuta kazi unazofanya ni mali ya record label kv wamegharamia wao kuanzia A-Z na wewe msanii unaishia kupata loyalty baada ya gharama zote kuondolewa! Sasa hiki ndicho anachomaanisha Diamond... kwamba ikiwa Roc Nation wanamtaka basi waiingie mkataba na WCB ambayo itashughrika na recording costs zote za nyimbo za Diamond na hivyo kazi yake kuwa ni mali ya WCB! Kuanzia hapo, Roc Nation ndo wanachukua nafasi (kibiashara zaidi) kwavile wao wana access kubwa zaidi to music business!!!
 
Upo sahihi mkuu
 
Muongo bwana!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Anadanganya km hatujui kusoma vile!

Hivi hao wenziwe kwani hawatamani kukolabo na kina jiga?

Nafasi za kuwapata mpk waje coke studio km Neyo ndo tusafirie nyota!

Uongo mtupu!
Diamond haja daganya ni kweli roc nation walitaka kum sign yeye alikataa ila tiwa savage ndo alikubali
 
siku ambayo baadhi ya watanzania watajikubali ndo siku watakayouaga umaskini kiujumla.

diamond piga kazi kivyako lebo itakunyonya tu big up! jay z sio mafanikio
 
Duuu. Hizi kiki sasa zinaenda mbali. Labda RocNation ya sinza mapambano hiyo. Wana mkuu wao anaitwa Jay Z. Sie bongo si tunaiga maana tunao kina Amber rose, Kanye, Kim Kardashian na wengineo.
Wakati tetesi za Chibu kutoka na Zari zinaanza kusikika kuna watu wenye upeo kama wako nao walisema labda Zari wa Sinza.
 
Seriously? Jigga the legend?! Anasema pia na record label nying kubwa kazitolea nje so hata cash money ya birdman ....embu labda tusubiri watalaam wa biashara waje wazungumzie hizo sababu zake alizozitoa...maana mhhh..kazi...eti nani ?? Baba blue ivy??
Kwani jigga kitu gani mkuu?? Sema nyie hamjui shida ya kua under record label kubwa kama hizo, mfano mzuri ni dbanj na Davido wako wapi now, nachomkubali mond ana mipango mizuri na ya maono, sasa akubali kuwa chini ya jigga wakati na yy ana record label yake, hata kama ni changa Lakini bora akomae nayo hivyo hivyo tu.
 
Anaandika mgazeti, mbwembwe kibao + povu! Cha kushangaza sasa kaandika pumba ...eti Jay z ni sawa na ne-yo? Ukishaanza kuona msanii wa kimarekani except UN ambassador anatia tia timu Africa, ukweli ni kwamba kafulia period. Aache hebu kumfananisha Ba Blue Ivy na vitu vya kijinga jinga!
Ila Watu tuna utofauti sana mbona mimi sioni cha pekee alichonacho Jay z?? Ungeniambia breeze kidogo ningekuelewa ila Co jigga wa Kawaida tu mbona
 
Ila Watu tuna utofauti sana mbona mimi sioni cha pekee alichonacho Jay z?? Ungeniambia breeze kidogo ningekuelewa ila Co jigga wa Kawaida tu mbona
Yeah kila mtu na perception yake, kwangu Jigga wa ROCNation sio mtu wa mchezo mchezo hivi.
 
Back
Top Bottom