Mkuu kwani kila jambo linalofanyika lazima ujue,? Zoezi la KORA AWARDS limemalizika jana na Kijana Diamond kakabidhiwa special certificate.
Mkuu kwani kila jambo linalofanyika lazima ujue,? Zoezi la KORA AWARDS limemalizika jana na Kijana Diamond kakabidhiwa special certificate.
hivi wewe umepatwa na nini kichwani mwako? unapajuwa sun city wewe? mbona unajitowa akili kiasi hiki? unaijuwa vizuri kora music awards?
Aiseee sipost tena thread inayomuhusu Diamond maana naona raia wana hasira sana na huyu jamaa, heaven on desert huwa una kazi nzito ndugu yangu..
Aiseee sipost tena thread inayomuhusu Diamond maana naona raia wana hasira sana na huyu jamaa, heaven on desert huwa una kazi nzito ndugu yangu..
hajashinda tuzo yoyote, bali kapewa cheti cha ushiriki (certificate of participation) na kuingia kwenye 20 Bora, nashukuru dada umeweka hicho cheti!
Hamna mtu mwenye hasira na Diamond ila uwasilishaji wenu humu unakuwa umezidi chumvi. Kama huu uzi ungeuwasilisha kuwa Diamond apewa certificate ya kukaa kwenye chart ya kora nadhani isingekuwa na shida.
umeleweka Kiongozi.
Wewe thinking capacity yako ni ndogo sana,Tafuta kamusi halafu soma kile cheti alichopewa na kwa taarifa yako Redsan pia kapata,Camp Mulla pia!
Washa kudandia vitu usivyovijua urefu wake!!
Ni sababu ya kuwa top 20 kwa wiki 13 mfululizo ndugu
husimseme mwenzio ana low thinking capacity wakati yako pia ni ya kutiliwa mashaka. redsan kapata gold certificate wakati diamond kapata Platinum certificate na campmulla ni best group....
Hii ni certificate of achivement au awards? Kora wameanza lini kutoa tunzo kwa barua? Hakuna usiku wa Kora awards siku hizi?
Hata hiyo certificate inaonekana imetangenezwa maana kuna mambo ya mejirudia mara mbili itazame upya... qn of sheba.
Mimi napenda muziki wa Diamond lakini muda mwingine hawa wanao leta habari zake wana muharibia sana.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari.
Naona wewe unashobokea wanaume sasa sijui chemba imejaa ama??!! Nimemkosoa baada ya kuwa anabishabisha tu wakati anaelekezwa na huo upotofu kuwa Diamond kapata tuzo,rudia tena kusoma(kapata tuzo) ya msanii bora wa Africa Mashariki ndio nikamsema kuwa atakuwa na low thinking capacity na arudi akasome tena hicho cha Diamond na awe na dictionary na nikakumtajia wasanii watatu wa Africa Mashariki wamepata so sio tuzo na Queen of sheba akapandisha kapicha na ni nikamuita huyo mbishi wako,cha ajabu Mkuu unakuja na payo kwangu!!!
nimeicheki ndio maana nikaiweka humu ni certicate ya achievement kwa kukaa mara 13 mfululizo kwenye top 20 yao mleta mada kaichanganya na tuzo ila tuzo haziwi hivi. hili ndilo tatizo tunalolipigia kelele humu hawa waleta habar zake humu hawaaminiki ndio maana ilibidi nikaitafute nikaipata kwenye page ya fetty insta nakugundua kuwa sio tuzo.. nikaidownload nije niiweke humu, maana sikuiz PRO wa diamond wakileta habar humu kamwe hatutaziamini lazima tuzi hariri... i wonder huyu HOD na wenzie hawakomi tu kutuletea uongo humu.
sio lazima kila mtu ajue upumbavu wako jaribu kujizuia basi....yani it seems uko poor kwenye arguments maana lazima utukane. watu wenye akili zao sio lazima watukane mtu ili washinde mjadala grow up basi!!!!!! umeona nimekuchallenge eti "Naona wewe unashobokea wanaume sasa sijui chemba imejaa ama??!!" halafu hata lugha inakushinda jembe "nikakumtajia" siellllllllleeeewi!!!!. husipanic hii ni jamii forums kila mtu yuko free kuchangia. Amani blazaaa!!!!