Diamond Platinumz aibuka kidedea kwa kushinda KORA MUSIC AWARDS

Mkuu kwani kila jambo linalofanyika lazima ujue,? Zoezi la KORA AWARDS limemalizika jana na Kijana Diamond kakabidhiwa special certificate.

hivi wewe umepatwa na nini kichwani mwako? unapajuwa sun city wewe? mbona unajitowa akili kiasi hiki? unaijuwa vizuri kora music awards?
 
tunamsubili shujaa wetu, tender ya kusupply tshirt msinisahau nimeshaanza kuziprint kabisa. bei ni ya kizalendo buku 10 tu.
 
Aiseee sipost tena thread inayomuhusu Diamond maana naona raia wana hasira sana na huyu jamaa, heaven on desert huwa una kazi nzito ndugu yangu..
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe umepatwa na nini kichwani mwako? unapajuwa sun city wewe? mbona unajitowa akili kiasi hiki? unaijuwa vizuri kora music awards?

alafu w jamaa huwa unajifanya una hasira sana, huwezagi kukoment bila kutumia lugha zinazokera, kama mtu mwenye kichaa cha mbwa.. Respect yourself pia sio lazima uwe unaquote aiseee tusije tafutiana ban bure..
 
Aiseee sipost tena thread inayomuhusu Diamond maana naona raia wana hasira sana na huyu jamaa, heaven on desert huwa una kazi nzito ndugu yangu..

Usipost kwani unamtisha nani,Tatizo wazushi na waongo eti kapata tuzo certificate of participation nayo ndo tuzo? Ndo muache ushabiki maandazi ku post vitu msivyovijua we ukisikia kicha cha habar tu unakurupuka ku post, upumbavu wenu mpeleke uko facebook na instagram
 
Last edited by a moderator:
Aiseee sipost tena thread inayomuhusu Diamond maana naona raia wana hasira sana na huyu jamaa, heaven on desert huwa una kazi nzito ndugu yangu..

Hamna mtu mwenye hasira na Diamond ila uwasilishaji wenu humu unakuwa umezidi chumvi. Kama huu uzi ungeuwasilisha kuwa Diamond apewa certificate ya kukaa kwenye chart ya kora nadhani isingekuwa na shida.
 
Last edited by a moderator:
Hamna mtu mwenye hasira na Diamond ila uwasilishaji wenu humu unakuwa umezidi chumvi. Kama huu uzi ungeuwasilisha kuwa Diamond apewa certificate ya kukaa kwenye chart ya kora nadhani isingekuwa na shida.

umeleweka Kiongozi.
 
umeleweka Kiongozi.

tatizo unapost vitu usivyovijua sasa davido na east africa wapi na wapi? siku nyingine usifanye haraka tulia pata habari kamili zen habarisha watu, huyo hod uliyemtaja alishasema habari za ukweli kuhusu the boss anatoa yeye tu wengine waongo lakini juzi katuingiza chaka kuwa mtu jina lake lipo HWF
 
Mwaka huu mbona tutakoma kuongopewa na mashabiki wa domo.Mwaka utakuwa mrefu kweli
 
Wewe thinking capacity yako ni ndogo sana,Tafuta kamusi halafu soma kile cheti alichopewa na kwa taarifa yako Redsan pia kapata,Camp Mulla pia!

Washa kudandia vitu usivyovijua urefu wake!!

husimseme mwenzio ana low thinking capacity wakati yako pia ni ya kutiliwa mashaka. redsan kapata gold certificate wakati diamond kapata Platinum certificate na campmulla ni best group....
 
Hii ni certificate of achivement au awards? Kora wameanza lini kutoa tunzo kwa barua? Hakuna usiku wa Kora awards siku hizi?
Hata hiyo certificate inaonekana imetangenezwa maana kuna mambo ya mejirudia mara mbili itazame upya... qn of sheba.
Mimi napenda muziki wa Diamond lakini muda mwingine hawa wanao leta habari zake wana muharibia sana.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari.

Ni sababu ya kuwa top 20 kwa wiki 13 mfululizo ndugu
 
Last edited by a moderator:
husimseme mwenzio ana low thinking capacity wakati yako pia ni ya kutiliwa mashaka. redsan kapata gold certificate wakati diamond kapata Platinum certificate na campmulla ni best group....

Naona wewe unashobokea wanaume sasa sijui chemba imejaa ama??!! Nimemkosoa baada ya kuwa anabishabisha tu wakati anaelekezwa na huo upotofu kuwa Diamond kapata tuzo,rudia tena kusoma(kapata tuzo) ya msanii bora wa Africa Mashariki ndio nikamsema kuwa atakuwa na low thinking capacity na arudi akasome tena hicho cha Diamond na awe na dictionary na nikakumtajia wasanii watatu wa Africa Mashariki wamepata so sio tuzo na Queen of sheba akapandisha kapicha na ni nikamuita huyo mbishi wako,cha ajabu Mkuu unakuja na payo kwangu!!!
 
Hii ni certificate of achivement au awards? Kora wameanza lini kutoa tunzo kwa barua? Hakuna usiku wa Kora awards siku hizi?
Hata hiyo certificate inaonekana imetangenezwa maana kuna mambo ya mejirudia mara mbili itazame upya... qn of sheba.
Mimi napenda muziki wa Diamond lakini muda mwingine hawa wanao leta habari zake wana muharibia sana.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari.

nimeicheki ndio maana nikaiweka humu ni certicate ya achievement kwa kukaa mara 13 mfululizo kwenye top 20 yao mleta mada kaichanganya na tuzo ila tuzo haziwi hivi. hili ndilo tatizo tunalolipigia kelele humu hawa waleta habar zake humu hawaaminiki ndio maana ilibidi nikaitafute nikaipata kwenye page ya fetty insta nakugundua kuwa sio tuzo.. nikaidownload nije niiweke humu, maana sikuiz PRO wa diamond wakileta habar humu kamwe hatutaziamini lazima tuzi hariri... i wonder huyu HOD na wenzie hawakomi tu kutuletea uongo humu.
 
Naona wewe unashobokea wanaume sasa sijui chemba imejaa ama??!! Nimemkosoa baada ya kuwa anabishabisha tu wakati anaelekezwa na huo upotofu kuwa Diamond kapata tuzo,rudia tena kusoma(kapata tuzo) ya msanii bora wa Africa Mashariki ndio nikamsema kuwa atakuwa na low thinking capacity na arudi akasome tena hicho cha Diamond na awe na dictionary na nikakumtajia wasanii watatu wa Africa Mashariki wamepata so sio tuzo na Queen of sheba akapandisha kapicha na ni nikamuita huyo mbishi wako,cha ajabu Mkuu unakuja na payo kwangu!!!

sio lazima kila mtu ajue upumbavu wako jaribu kujizuia basi....yani it seems uko poor kwenye arguments maana lazima utukane. watu wenye akili zao sio lazima watukane mtu ili washinde mjadala grow up basi!!!!!! umeona nimekuchallenge eti "Naona wewe unashobokea wanaume sasa sijui chemba imejaa ama??!!" halafu hata lugha inakushinda jembe "nikakumtajia" siellllllllleeeewi!!!!. husipanic hii ni jamii forums kila mtu yuko free kuchangia. Amani blazaaa!!!!
 
nimeicheki ndio maana nikaiweka humu ni certicate ya achievement kwa kukaa mara 13 mfululizo kwenye top 20 yao mleta mada kaichanganya na tuzo ila tuzo haziwi hivi. hili ndilo tatizo tunalolipigia kelele humu hawa waleta habar zake humu hawaaminiki ndio maana ilibidi nikaitafute nikaipata kwenye page ya fetty insta nakugundua kuwa sio tuzo.. nikaidownload nije niiweke humu, maana sikuiz PRO wa diamond wakileta habar humu kamwe hatutaziamini lazima tuzi hariri... i wonder huyu HOD na wenzie hawakomi tu kutuletea uongo humu.

Hata hiyo certificate ina makosa maana kuna sehemu wamerudia rudia na ina tia shaka sana!

Wanao muangusha Diamond ni waleta Habari zake humu!
 
sio lazima kila mtu ajue upumbavu wako jaribu kujizuia basi....yani it seems uko poor kwenye arguments maana lazima utukane. watu wenye akili zao sio lazima watukane mtu ili washinde mjadala grow up basi!!!!!! umeona nimekuchallenge eti "Naona wewe unashobokea wanaume sasa sijui chemba imejaa ama??!!" halafu hata lugha inakushinda jembe "nikakumtajia" siellllllllleeeewi!!!!. husipanic hii ni jamii forums kila mtu yuko free kuchangia. Amani blazaaa!!!!

Sasa kama kila mtu ana uhuru wewe unaleta hoja gani kwangu na nishakufafanulia sababu ya kumwambia yule bwana amekosea nini na hakupinga ila wewe ndio umekuja mbio mbio na kuendeleza??!! Tafuta kamusi utaelewa maana ya payo,kama we ni KE haina tatizo ila kama ni ME then tafadhali let's call it a day kwani sio rafiki wala muungwana kwa waliberali!!
 
Kwa hiyo na hiyo certificate na yenyewe ndio mtanzania wa kwanza kuipataa! !!!
 
Back
Top Bottom