warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mkuu kwani kila jambo linalofanyika lazima ujue,? Zoezi la KORA AWARDS limemalizika jana na Kijana Diamond kakabidhiwa special certificate.
Mwaka huu tutakoma hata ndomo akipewa leso tutajua, mmh ushamba na ulimbukeni ni bonge la mzigo tz