Diamond Platinumz alivyomtembelea Balozi Kairuki alivaa kiholela. Muone 50 cent sasa!

Hivi kwanini Chadema isifutwe?! 🤔

Maana ina majitu makorofi yanayopenda kubishania ujinga tu ulio wazi

Cc: Kiranga
 
Mimi nahisi ana akili sana ila amezielekeza kuchambua kitu kisicho na umuhimu.

Kiranga anashauri hizo akili angeelekeza kuchambua pesa zinazopotea kwenye ripoti za CAG.

Si ingeleta manufaa ama wewe unaonaje?
Kuielekeza akili kuchambua suala ambalo halina umuhimu wowote ni dalili za mtu asiyekuwa na akili kabisa.
 
Mkuu ilikuaje Wamarekani wakamshikia bango Zelensky kwamba hana adabu kutovaa suti White House?
 
Huko Bungeni kuna Mbunge ambaye amewahi hata kuanzisha Project yeyote ya kusaidia jamii na kutengeneza ajira. Diamond ni extra miles kuliko hata huyo anayevaa suti
Wenyewe ndo mnaona poiiint hiyo 😄 ume-copy mstari wa yule ***** mwenzio DR HAYA LAND

Wapo tele! Ndomana tunasema ujuaji mwingi mbele kiza vijana wa kibongo hamfuatilii mambo ila kulaumu na kulialia na kufuatilia usenge usenge ndo mmetanguliza mbele

Kwanini mnalilia nyuma ya keyboard lakini… hamuwaoni wenzenu vijana wa kenya walivyo vidume?! Jaribuni na ninyi, maana humu mnajitia mnajua sanaaaaaa!!!! Alafu LIVE LIVE makondoo 😄
 
Mimi nahisi ana akili sana ila amezielekeza kuchambua kitu kisicho na umuhimu.

Kiranga anashauri hizo akili angeelekeza kuchambua pesa zinazopotea kwenye ripoti za CAG.

Si ingeleta manufaa ama wewe unaonaje?
Kuchambua pesa zilizopotea kwenye ripoti ya C.A.G ni kazi ya mleta mada au yako wewe au ya huyo mwenzako unayemuuliza?!
 
Ukiona MTU anatukana matusi ujue hana akili na ana uwezo duni wa kujenga hoja

Sasa MTU Kama wewe unayeandika matusi unaweza kuwa unaelewa dunia kwa mapana yake.
 
Mleta mada ni mshamba sana anafanya maisha yawe magumu.
 
Mkuu ilikuaje Wamarekani wakamshikia bango Zelensky kwamba hana adabu kutovaa suti White House?
Kwanza kabisa, ukisikia Wamarekani... kwa kauli yoyote inayotaka kuwalundika Wamarekani pamoja, mara nyingi hiyo habari inakuwa ni overgeneralization.

Wamarekani ni wengi sana, wako tofauti sana, na kuwalundika hivyo si haki.

Kama ulifuatilia habari za Zelensky na Trump kuanzia mavazi mpaka mazungumzo kuna Wamarekani wengi sana walikuwa upande wa Zelensky na wengine wengi sana walikuwa upande wa Trump.

Nchi imegawanyika pasu pasu kwa hiyo swali lako lililoulizwa kama vile Wamarekani walikuwa na msimamo mmoja kuhusu hilo jambo kimsingi halina ukweli.
 
Hahahaaaa, ni kama naanza kuiona pointi yako.

Unaweza ukawa uko sahihi.
Kuna mambo ya msingi kibao ya kuchambua, sasa mtu anapoielekeza akili yake kwenye maisha binafsi ya mtu mwingine, hajajichunguza yeye mwenyewe...

Hiyo inakuwa ni dalili ya wazi ya upungufu wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…