Diamond Platinumz alivyomtembelea Balozi Kairuki alivaa kiholela. Muone 50 cent sasa!

Basi tufute na shule kabisa, maana ndiyo source ya kila anayejua kusoma na kuhoji.
Kwahiyo shule ndo zinazalisha majitu makorofi, ******* na yanayopenda migogoro ya kichokochoko kama chadema?!

Hapa imeletwa mada ya maana ambayo mtu yoyote mwenye uelewa hawezi kukaza fuvu na kufanya mambo yawe mengi na marefu

Kanielewa huyo mpuuzi nakushangaa wewe unaleta sababu ya hovyo na ya kipuuzi eti tufute shule

Bwege wewe!
 
Ona ulivyo mpuuzi!

Wapi walikuwa kati ya upande wa Zelensky na Donald Trump?!

Chadema ina majitu ya hovyo sana!
 
Kuielekeza akili kuchambua suala ambalo halina umuhimu wowote ni dalili za mtu asiyekuwa na akili kabisa.
Halina umuhimu kwako kwa sababu ndo uwezo wako ulipoishia wa kuchambua mambo…

nenda Chuo kikuu chochote nchini kuna maprofesa na madaktari walifanya research na desertation ya mambo ambayo kwako ukisoma utaona hayana maana lakini kumbe usiye na maana ni wewe.

Vyuo Vikuu vya hapa ukiona hutaki fuatilia vikubwa vya nje. Maana wabongo akili hamnaga hamtakagi kujua vyenu na vyenye maana mnataka ujinga ujinga tu kama wa huyo shoga hapo aliyeenda ubalozini na malapulapu

Profesa Kitila Mkumbo unamjua?! Fuatilia yeye alifanya research ya nini ikampa huo uprofesa… ukiona hakikuwa na maana wasomi wakubwa na watu wenye akili timamu tume-appreciate na kuona vina maana

Dr. Kigwangala unajua alifanya nini?

Bwege wewe
 
hyo rubbish imemtajirisha (>USD 10 Million) na kuheshimika
Sisi ndo tunakwambia… HANA HIYO PESA

Kijana alichowin ni umaarufu na kupata mademu wengi ambao hata wanaweza kumtungia uongo kumnadi na kumtangaza while yeye mwenyewe hajawatuma

Nchi ina vijana ******* sana hii… acha tuendelee kuwaburuzeni mafala nyinyi, kwa akili hizi 🤣🙌🏾
 

Sikupingi ila Kila sehemu Kuna mavazi yake, mfano bichi, ofsini club stejini. hebu tustaarabike hata kama tuna uhuru wa kufanya vyoyvyote
 
If that's the case, angeenda uchi basi ili aongelewe zaidi na zaidi
 
50 Cent alikuwa na kesi pale kavaa mavazi ya kwenda mahakamani.
Toa ujuaji wako wa kijinga hapa;

50 Cent, whose real name is Curtis Jackson, visited Capitol Hill to advocate for greater minority representation in the luxury spirits industry, specifically highlighting his own liquor brand, Sire Spirits. He was accompanied by civil rights attorney Ben Crump and aimed to address the lack of Black entrepreneurs in the field and the challenges his company faced with Suntory Global Spirits.
 
okay, Forbes ni wazushi we ndyo unayejua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…