Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

Nasikia watu wanalipa pesa kununua haya magazeti na hawayakosi... yaani wana moyo kishenzi!! Magazeti gani haya kila wakati kuandika upuuzi? Mbaya zaidi, wengine wanayaona ndio source kabisa ya habari...!!!

Majanga ndugu.....alijisemeaga Snura.
Kiukweli mzee wa bamaga kazidi sana dharau
 
NI mjasiriamali, anaangalia watu wanataka nini... more than 5 years ago nami nilikuwa mhanga wake... mbaya zaidi nikawa naziamini habari zake! Ikatokea habari ya msanii mmoja ambayo nilikuwa naifahamu A-Z; alichoandika Shigongo hakikufanana hata kwa 5%... ni kwamba ilikuwa stori ya kupika! Tangu siku hiyo, nikabaki tu kununua kwa ajili ya kusoma hadithi zake na hizo nikaacha alipotoa stori ya mtoto Mtanzania mwenye mtindio wa ubongo aliyekuwa super genius hadi CIA wakaja kumuiba... nikaona this's TOO MUCH!!!!!!
 
Hahahaaa chige umenifurahisha sana shigongo ni muongo mwenye phd, hadithi zake za uongo wa chekechea mi sisomi jamaa anaandika uongo mpaka unaesoma unajiona ----- mi namsoma @Tuwa bwanaa.
 
Last edited by a moderator:

Much respect kwa Hussein Tuwa... huyu ndie unaweza kumsoma kwa sasa na ukagundua kwamba anatumia kichwa kufikiri... jamaa si tu kwamba ni mtalaamu wa ideas bali ni mtalaamu wa plotting! Tena sijui kwanini huyu jamaa haandiki script/screenplay ingawaje kibongo bongo hazina hela!!
 
Hahahaaa chige umenifurahisha sana shigongo ni muongo mwenye phd, hadithi zake za uongo wa chekechea mi sisomi jamaa anaandika uongo mpaka unaesoma unajiona ----- mi namsoma @Tuwa bwanaa.

Story zake zinaboa sana yani hazina jipya unakuta mtu anateseka extra ordinary, habari zote anatoa instagram haumizi kichwa kutafuta habari anacopy tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom