Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh GPL imekusanya hadi GT inaburuza hapa bila watu kujua hakika uyu Erick fundi maana sijaona hata ambapo dogo kasema ni majini ila wao wamejitungia hadithi yao na ma-house girl wamebana hela zetu za mboga wamenunua kama njugu mbaya zaidi takataka imeibukia JF na tupo tunatoana akili hapa bila sababu
Hahahaaa, u make my night happier than it was. Afu cha ajabu the so called Great thinkers wana comment bila kuona hata ni wapi Mr platinum aliongea hilo Suala! Kwani mi nashindwa nini kuzusha kuwa McDonaldJr alinambia kuwa Ruttashobolwa mchawi! Si ndo kilichoandikwa hapo na Shigongo! Kweli wa Tz ukifanikiwa kuwapa uongo kwisha habari yao!
Nyota inafifia kwa kutumia vigezo gani?Nonsense kabisa hakuna lolote nyota inafifia na hiyo njia ya kuing'arisha tu,hakuna cha jini wala shetani km mbovu mbovu tu.
Nasikia watu wanalipa pesa kununua haya magazeti na hawayakosi... yaani wana moyo kishenzi!! Magazeti gani haya kila wakati kuandika upuuzi? Mbaya zaidi, wengine wanayaona ndio source kabisa ya habari...!!!Siku hizi umbeya hata haunogi.
Wanatuletea habari zenyewe mbaya mbaya tu tena zenye shutuma za ovyo tu. Sasa hapo mtu unaanzaje kumjadilia mtu uchawi mara sijui majini......khaaaa!!!!
Hivi Dai na dini yote hiyo alonayo ni wakushindwa kupata huduma ya kumtoa huyo pepo hadi leo hii? Global waache sasa wamezidi aisee....wanajiropokea tu vile wanavyojisikia. Au Shigongo ni mshirikina nini ndo maana anaona simple! Nitafurahi sana siku naye wakimlipua
Unaambiwa Watanzania tuna habari fifi sijapata kuona! Hii habari nilikuta kwenye blog ya Le Mutuz... nilikuwa sijawahi ku-visit blog yake nikashangaa kukuta mtu kama Le Mutuz nae ana-post ujinga ujinga... au sijui ndo ile unawapa watu ile kitu unapenda wakati kama mimi ni advertiser wala siwezi kulipia matangazo kwenye blog ambayo visitors wake ni wapenda mambo ya kijinga kijinga kv nafahamu hamna mnunuzi miongoni mwao na ndio maana Michuzi ndie anayekula mkwanja wa kutosha kwenye matangazo coz' huwezi kukuta habari za kipuuzi kama hizi kwenye blog yake.Duh GPL imekusanya hadi GT inaburuza hapa bila watu kujua hakika uyu Erick fundi maana sijaona hata ambapo dogo kasema ni majini ila wao wamejitungia hadithi yao na ma-house girl wamebana hela zetu za mboga wamenunua kama njugu mbaya zaidi takataka imeibukia JF na tupo tunatoana akili hapa bila sababu
Hivi uliwahi kujiuliza ule upuuzi wa habari ya Chege na kitambaa cheusi ingekuwa ndo Diamond?! Manake kama ni wanawake wangeunguza kwa kushadadia upuuzi na kama ni wanaume wangejisahau kwamba wamevaa kanga wakati wapo ndani na wakatoka hadi nje na kanga zao viunoni!Lawyer Ebu nisaidie hapa watu wanamchamba Diamond? Mpeleka habari global publisher? Au global publisher wenyewe? JF watu wana stress, yaan joto hasira lol! Yaani thread ikianzishwa tu utawaona wanavyoanza kuhororojoka in (@faizafox's voice) Hawajui ukweli wa habari as long as global publishers are concerned mhhh. Nilitegemea kwa watu wanaojiita great thinkers wataanza kuhoji ukweli wa habari badala yake wanarukia kum attack diamond. Kwanini tusiamini kuwa they just hate him! !
Aliysema ametupiwa jini ni Diamond au GPL? Diamond kaona mama ake anaumwa kaamua kumpeleka India GPL wanateneza stori na kuleta habari za majini!! Huyo mama alipelekwa India almost a month now na sio kwamba ndio anaenda!ni nani aliyeliona? kwa hiyo India anaenda kulitoa au?
naanza amini ule utafiti uliosema TZ 90% washirikina
matumbo wacha ulozi mkuu.Sasa je, kijukuu cha Mwanamalundi hiki. we unafikiri watu tumekaa kihasarahasara kama wewe unaejifanya mzungu.
Lazima uwe fiti.
matumbo wacha ulozi mkuu.
Na ntakuroga kweli, nyege zako niziamishie nyuma ili uwe na adabu.