King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Diamond usiwaige P-sqaure,Hakuna kama mama,kipi bora kati ya Fame na Mama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo huo hapo....mkuu weka picha ya jini huyo tumwone
...aliyetupa hajui kulenga
Diamond usiwaige P-sqaure,Hakuna kama mama,kipi bora kati ya Fame na Mama?
Kha! Nani kakulazimisha.Nimechoshwa na habari za diamond
mada inazungumzia jini lakini, kwa hiyo nilikuwa najaribu kurelate ulichoandika na mada tajwa!
Kuna watu wamechapa matokeo ya utafiti unaoonesha Tanzania asilimia 90 ya watu wanaamini hizi habari za uchawi na madini. Naweza kuona hilo kufanana na ukweli.
Mbongo anaweza ishi miaka 50 bila check up hata ya meno, siku akipooza kitu cha kwanza kusema ni jini au uchawi.
kwa hiyo watangazaji wamemtupia jini au?
Diamond usiwaige P-sqaure,Hakuna kama mama,kipi bora kati ya Fame na Mama?
daddy nawe unaamini uchawi ?