Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Nasikia watu wanalipa pesa kununua haya magazeti na hawayakosi... yaani wana moyo kishenzi!! Magazeti gani haya kila wakati kuandika upuuzi? Mbaya zaidi, wengine wanayaona ndio source kabisa ya habari...!!!
NI mjasiriamali, anaangalia watu wanataka nini... more than 5 years ago nami nilikuwa mhanga wake... mbaya zaidi nikawa naziamini habari zake! Ikatokea habari ya msanii mmoja ambayo nilikuwa naifahamu A-Z; alichoandika Shigongo hakikufanana hata kwa 5%... ni kwamba ilikuwa stori ya kupika! Tangu siku hiyo, nikabaki tu kununua kwa ajili ya kusoma hadithi zake na hizo nikaacha alipotoa stori ya mtoto Mtanzania mwenye mtindio wa ubongo aliyekuwa super genius hadi CIA wakaja kumuiba... nikaona this's TOO MUCH!!!!!!Majanga ndugu.....alijisemeaga Snura.
Kiukweli mzee wa bamaga kazidi sana dharau
Hahahaaa chige umenifurahisha sana shigongo ni muongo mwenye phd, hadithi zake za uongo wa chekechea mi sisomi jamaa anaandika uongo mpaka unaesoma unajiona ----- mi namsoma @Tuwa bwanaa.NI mjasiriamali, anaangalia watu wanataka nini... more than 5 years ago nami nilikuwa mhanga wake... mbaya zaidi nikawa naziamini habari zake! Ikatokea habari ya msanii mmoja ambayo nilikuwa naifahamu A-Z; alichoandika Shigongo hakikufanana hata kwa 5%... ni kwamba ilikuwa stori ya kupika! Tangu siku hiyo, nikabaki tu kununua kwa ajili ya kusoma hadithi zake na hizo nikaacha alipotoa stori ya mtoto Mtanzania mwenye mtindio wa ubongo aliyekuwa super genius hadi CIA wakaja kumuiba... nikaona this's TOO MUCH!!!!!!
Much respect kwa Hussein Tuwa... huyu ndie unaweza kumsoma kwa sasa na ukagundua kwamba anatumia kichwa kufikiri... jamaa si tu kwamba ni mtalaamu wa ideas bali ni mtalaamu wa plotting! Tena sijui kwanini huyu jamaa haandiki script/screenplay ingawaje kibongo bongo hazina hela!!