Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


mfano mzuri.....original comedy.....wana miradi yao maisha yanaendelea.....sasa kwa hawa wanamziki sijui....ukiangalia mr.nice uwezi amini kama alikuwa anapendwa na pesa ilikuwepo......
 
Ghafla nimekumbuka kile kipindi cha zecomedi cha ' aliyeee fuliaaa'

Km huwa anapita humu asome hio ushauri wa Watu8

hahaaa....lilikuwa somo zuri mana unakumbusha kuweka akiba pindi una uwezo.....ingawa watu walikuwa wanalichukulia jambo hilo kama la udhalilishaji......binafsi niliona ni fundisho.....
 
Sioni kwa nini Diamond anatakiwa awe role model.

Awe role model kwa nani?

Wazazi na walezi kuweni role models kwa wanenu.

Msiachie wengine hilo jukumu.
 
inabidi utafsiri ujumbe huo wa jua ndo ujue anamanisha nini kama utaona bado huelewi kanywe mchuzi wa pweza

Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi
 
Ndvyo watanzania tulivyo, kudhihirisha uliyoyaandika angalia mchango wao hapa, but imngekua skendo hii post ingekua na comments 1000, ila kwa kuwa ni ya kueleza ukweli hukuti mbongo hapa.
 
Kweli.

Hakuna kinachoshindikana labda pale tu utakapoiaga dunia
 
Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi

Pamoja na uandishi wake wa secondary na blah blaah mwisho wa siku watu wanakua entertained na mziki wake na anasonga mbele zaidi hivi unaelewa maana ya skelewu?

hamna tafsiri ya hilo neno lakini kutoku make sense kwake kukaifanya nyimbo imekua hit africa nzima...vivyo hivyo kwa diamond na pia chukulia mfano mtu kama lil wayne hua unaelewa anachoimba kweli...?
 
Mnataka akifungua biashara aje kuwatangazia vyumbani mwenu?? Mtu ambaye anasomesha watoto yatima watatu IST mnadhani anategemea pesa za show pekee??
 

Nyimbo hizo ndio zinazolipa, hiyo ndio sanaa hakuna nyota anayolilia yupo kazini tu.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
.da ni kweli kabisa mungu yu pamoja nasi na wala hamtupi mja wake kamwe yeye ndiye aliye tuumba na yeye ndiye mtetezi wetu milele
 
Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi

sasa mbn hao ambao unawasifia ww ambao wakiandikia wanaeleweka mbn mwisho wao ni kwny radio za kina ruge na mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…