Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
Ivi bado hawajakubali tu.!? Watakua wachawi.
Kwakweli, mi nna wasiwasi nao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi bado hawajakubali tu.!? Watakua wachawi.
umeamua tu makusudi kutuzingua
Hivi huyu bwana mdogo ana vitega uchumi vyovyote...
Nakumbuka kuna wakati alikuwa anajigamba kuwa na pesa nyingi kiasi cha kufikia bilioni moja...
Sasa kwa nchi yetu hii muziki si ajira rasmi na mara nyingi huwa mashabiki wake wana kasumba ya kumpenda msanii mmoja kwa muda fulani baada ya hapo wanahamia kwa mwingine mpya...
Hivyo ni vyema kutazama vyanzo vingine vya mapato sasa kwa kufungua vitega uchumi, na kwa kuwa ana jina kubwa ni rahisi kufanikiwa upande huo pia...
Ghafla nimekumbuka kile kipindi cha zecomedi cha ' aliyeee fuliaaa'
Km huwa anapita humu asome hio ushauri wa Watu8
inabidi utafsiri ujumbe huo wa jua ndo ujue anamanisha nini kama utaona bado huelewi kanywe mchuzi wa pweza
Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi
Ivi bado hawajakubali tu.!? Watakua wachawi.
Lazima wanye mawe ya mwanza
hilo yai umempasulia nani sasa kwa mfano???Kwa nini Domo awe role model again?
hilo yai umempasulia nani sasa kwa mfano???
Hali zenu wana jf,
Binafsi ni shabiki mzuri sana wa nyimbo za diamond na nina mkubali sana,japo huwa anaimba juu ya topic moja tuu, ambayo ni ya mapenzi. Nimekua nikifuatilia mashairi ya nyimbo zake, na naona analalamikaa sana kuhusu nyota, nikinukuu wimbo wake huu mpya wa ntampata wapi, '' ale nyotaaa, nyota ndio tatizo langu, ale nyotaaa, mpaka nalia peke yangu...!"
Na huu si wimbo wa kwanza kuongelea nyota.
Naamini tupo tofauti, na ufahamu upo tofauti, nijuzeni ndugu zangu, huyu jamaa analilia nyota gani?
Ivi bado hawajakubali tu.!? Watakua wachawi.
Jamaaa sio writer mzuri, ana uandish wa secondary...kuna watu wakiandika unakubali. Sio vina vya kufosi