Tatizo wengi formal education imetuathiri sana....unaona kama mwenzako hajafika chuo kama ww unadhani hana elimu..tumesahau kabisa informal education na elimu itokanayo na mazingira....
Alipo Dr 3Diamonds kuna watu na madigirii yao hawatakuja kufika..
Shule sio ngazi ya elimu,Bali shule ni maarifa mtu aliyonayo...
Kuna wanamuziki mnawajua wenyewe wana madigirii na ma masters, lakini hio elimu yao haijawakomboa wananyonywa ktk shows zao kuliko diamond ambaye amecalculate thamani yake na akasema below this mm usinitafute...
Sasa nikuulize hapo nani ana akili??? Diamond ambae ni form four au hao wenye ma masters na bado wanabembeleza Pesa za show???
Give our hero a space please!!!