Ujue mfuta vumbi alikosea sana hesabu....yaani alivokuaga kakaa kimya ilikua bora sana....sasa tatizo akawasikiliza wapuuzi ambao wao waliongozwa na chuki ya mafanikio ya 3D,,akaingia mzima mzima akidhani wenye kumchukia rais ni wengi kuliko wampendao.....akajitia eti ze konyo konyo of the konyo hahaha.......watu wakamwambia wait a minute,do you mean to start a war with someone who's command in chief???? Kweli kabisa unataka pambana na rais kweli ambae ana jeshi kuanzia mgambo mpaka wanamaji??? Ndo akapigwa 3 bila mchana kweupeeeeee!!!! Kama ana akili its time aache kuwasikiliza wapuuzi afanye kazi kwa kujituma na wala asijiingize ktk mkumbo wao aseeeeee...
Lakini akiendelea kuwasikiliza wapuuzi ataendelea kuishia leaders wenzake ndo washaanza kuikamata Uganda(hakuna soko gumu kimuziki kama Uganda kwa east Africa maana wanathamini na kupenda vya kwao)
Ni hayoo tuu
ukiwasha tv unamuona ali k kupitia nyimbo gan nakshi mrembo au macmuga?
Kamchokonoa vp tena?
Ukweli imekuana nongwa leo hii !
Jenga picha kwene tunzo izo za chanel 0 ingekuwa hivi,
Chibu tunzo 1
Vannesa Tunzo 1
Kiba tunzo 1
Rich tunzo 1
Ni furaha kiasi gani tungepata watanzania sie? Na kiasi gani tungekuwa tumejitangaza?
Hawa team wema wamenchekesha sana aseee yaani shangazi kaniacha hoi sana.....hata mtaa wa saba nao wanasikiliza huku wamevuta mdomo hahahaTz kuna king mmoja tu katika kumbukumbu zangu nae ni Afande Sele hawa wengine ni konyo tu, walomzomea Diamond wote wamerudi baada ya tuzo 3 sa hivi kabaki peke yake na team yake ta watu 5.
Sonetimes tuweke ushabiki pembeni tuongee fact.Sasa hapo ali kiba kachokonolewa wapi?
Ujue mfuta vumbi alikosea sana hesabu....yaani alivokuaga kakaa kimya ilikua bora sana....sasa tatizo akawasikiliza wapuuzi ambao wao waliongozwa na chuki ya mafanikio ya 3D,,akaingia mzima mzima akidhani wenye kumchukia rais ni wengi kuliko wampendao.....akajitia eti ze konyo konyo of the konyo hahaha.......watu wakamwambia wait a minute,do you mean to start a war with someone who's command in chief???? Kweli kabisa unataka pambana na rais kweli ambae ana jeshi kuanzia mgambo mpaka wanamaji??? Ndo akapigwa 3 bila mchana kweupeeeeee!!!! Kama ana akili its time aache kuwasikiliza wapuuzi afanye kazi kwa kujituma na wala asijiingize ktk mkumbo wao aseeeeee...
Lakini akiendelea kuwasikiliza wapuuzi ataendelea kuishia leaders wenzake ndo washaanza kuikamata Uganda(hakuna soko gumu kimuziki kama Uganda kwa east Africa maana wanathamini na kupenda vya kwao)
Ni hayoo tuu
najaribu kupiga passport mwakani tunachukua Kili ngapi...wasipoangalia tunachukua zote
Kamchokonoa vp tena?
Ukweli imekuana nongwa leo hii !
Jenga picha kwene tunzo izo za chanel 0 ingekuwa hivi,
Chibu tunzo 1
Vannesa Tunzo 1
Kiba tunzo 1
Rich tunzo 1
Ni furaha kiasi gani tungepata watanzania sie? Na kiasi gani tungekuwa tumejitangaza?
Masharik festival na WASAFI wanahusika wap majirani ni December 12 mombasa kenya
Hapa mtaani kwangu ni kama nipo gerezani mana nikiwasha TV ni ally kiba, nikiwasha radio namsikia ally kiba, ringtone za wananzengo wenzangu ni nyimbo za ally kiba tu. Jana ndo nimebahatika kumsikia rich mavoko. Hivi Tanzania hakuna mwanamziki mwingine zaidi ya ally kiba?