Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kamchokonoa vp tena?
Ukweli imekuana nongwa leo hii !

Jenga picha kwene tunzo izo za chanel 0 ingekuwa hivi,

Chibu tunzo 1
Vannesa Tunzo 1
Kiba tunzo 1
Rich tunzo 1

Ni furaha kiasi gani tungepata watanzania sie? Na kiasi gani tungekuwa tumejitangaza?
 
Ujue mfuta vumbi alikosea sana hesabu....yaani alivokuaga kakaa kimya ilikua bora sana....sasa tatizo akawasikiliza wapuuzi ambao wao waliongozwa na chuki ya mafanikio ya 3D,,akaingia mzima mzima akidhani wenye kumchukia rais ni wengi kuliko wampendao.....akajitia eti ze konyo konyo of the konyo hahaha.......watu wakamwambia wait a minute,do you mean to start a war with someone who's command in chief???? Kweli kabisa unataka pambana na rais kweli ambae ana jeshi kuanzia mgambo mpaka wanamaji??? Ndo akapigwa 3 bila mchana kweupeeeeee!!!! Kama ana akili its time aache kuwasikiliza wapuuzi afanye kazi kwa kujituma na wala asijiingize ktk mkumbo wao aseeeeee...

Lakini akiendelea kuwasikiliza wapuuzi ataendelea kuishia leaders wenzake ndo washaanza kuikamata Uganda(hakuna soko gumu kimuziki kama Uganda kwa east Africa maana wanathamini na kupenda vya kwao)

Ni hayoo tuu

Tz kuna king mmoja tu katika kumbukumbu zangu nae ni Afande Sele hawa wengine ni konyo tu, walomzomea Diamond wote wamerudi baada ya tuzo 3 sa hivi kabaki peke yake na team yake ta watu 5.
 
Ingekua poa sana aisee
 
Tz kuna king mmoja tu katika kumbukumbu zangu nae ni Afande Sele hawa wengine ni konyo tu, walomzomea Diamond wote wamerudi baada ya tuzo 3 sa hivi kabaki peke yake na team yake ta watu 5.
Hawa team wema wamenchekesha sana aseee yaani shangazi kaniacha hoi sana.....hata mtaa wa saba nao wanasikiliza huku wamevuta mdomo hahaha
 
Attachments

  • 1417686304877.jpg
    1417686304877.jpg
    66.5 KB · Views: 113
  • 1417686320343.jpg
    1417686320343.jpg
    63.6 KB · Views: 102
Ujue mfuta vumbi alikosea sana hesabu....yaani alivokuaga kakaa kimya ilikua bora sana....sasa tatizo akawasikiliza wapuuzi ambao wao waliongozwa na chuki ya mafanikio ya 3D,,akaingia mzima mzima akidhani wenye kumchukia rais ni wengi kuliko wampendao.....akajitia eti ze konyo konyo of the konyo hahaha.......watu wakamwambia wait a minute,do you mean to start a war with someone who's command in chief???? Kweli kabisa unataka pambana na rais kweli ambae ana jeshi kuanzia mgambo mpaka wanamaji??? Ndo akapigwa 3 bila mchana kweupeeeeee!!!! Kama ana akili its time aache kuwasikiliza wapuuzi afanye kazi kwa kujituma na wala asijiingize ktk mkumbo wao aseeeeee...

Lakini akiendelea kuwasikiliza wapuuzi ataendelea kuishia leaders wenzake ndo washaanza kuikamata Uganda(hakuna soko gumu kimuziki kama Uganda kwa east Africa maana wanathamini na kupenda vya kwao)

Ni hayoo tuu

kabisa ninauhakika kuna hawa jamaa bado wana vita kubwa ila tu wanatudanganya kua ni friends.

Chibu ndo kashashika usukani hiyo haina ubishi
 
najaribu kupiga passport mwakani tunachukua Kili ngapi...wasipoangalia tunachukua zote

Hahaha hata wakiangalia watajikuta hawapati kitu....

Kwa taarifa yao tuu.muda si mrefu Dogo nae ataenda bungeni hahaha kupeleka tatu bila hahaha wananunajeee
 
Kamchokonoa vp tena?
Ukweli imekuana nongwa leo hii !

Jenga picha kwene tunzo izo za chanel 0 ingekuwa hivi,

Chibu tunzo 1
Vannesa Tunzo 1
Kiba tunzo 1
Rich tunzo 1

Ni furaha kiasi gani tungepata watanzania sie? Na kiasi gani tungekuwa tumejitangaza?

Tuzo!!
 
Masharik festival na WASAFI wanahusika wap majirani ni December 12 mombasa kenya
 
Hivi mpaka hapo zimefika shows ngapi jaman kwa December peke yake???
Watu watafuta vumbi sana aseee kwa hali hii.
Dogo punguza asee
 
Attachments

  • 1417694068560.jpg
    1417694068560.jpg
    52.1 KB · Views: 107
  • 1417694083595.jpg
    1417694083595.jpg
    49.8 KB · Views: 101
show tatu Dec hii

Kenya,Burundi,Rwanda,

Video inayo fuata tunaenda fanyia USA .
 
Hapa mtaani kwangu ni kama nipo gerezani mana nikiwasha TV ni ally kiba, nikiwasha radio namsikia ally kiba, ringtone za wananzengo wenzangu ni nyimbo za ally kiba tu. Jana ndo nimebahatika kumsikia rich mavoko. Hivi Tanzania hakuna mwanamziki mwingine zaidi ya ally kiba?

Mi nikidhani ukiwasha mtv base unamuona ally kiba ningeshangaa sana
 
Kiba huyo labda zianzishwe tuzo za ujinga na vigodoro may be atafikiriwa but international music atangoja sana..unless otherwise apunguze uswahili na wenzie sijui mashombe shombe wanajiita...big up diamond baba wema....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ujue mfuta vumbi alikosea sana hesabu....yaani alivokuaga kakaa kimya ilikua bora sana....sasa tatizo akawasikiliza wapuuzi ambao wao waliongozwa na chuki ya mafanikio ya 3D,,akaingia mzima mzima akidhani wenye kumchukia rais ni wengi kuliko wampendao.....akajitia eti ze konyo konyo of the konyo hahaha.......watu wakamwambia wait a minute,do you mean to start a war with someone who's command in chief???? Kweli kabisa unataka pambana na rais kweli ambae ana jeshi kuanzia mgambo mpaka wanamaji??? Ndo akapigwa 3 bila mchana kweupeeeeee!!!! Kama ana akili its time aache kuwasikiliza wapuuzi afanye kazi kwa kujituma na wala asijiingize ktk mkumbo wao aseeeeee...

Lakini akiendelea kuwasikiliza wapuuzi ataendelea kuishia leaders wenzake ndo washaanza kuikamata Uganda(hakuna soko gumu kimuziki kama Uganda kwa east Africa maana wanathamini na kupenda vya kwao)

Ni hayoo tuu

We utakuwa mpambe wake unampigia promo bosi wako
 
Back
Top Bottom