Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

angemiliki jumba lake bna mambo ya kupanga tena dah ci anavuta mkwanja mrefu ci ajenge jaman

hili pia huwa naliwaza SIJUI SABABU NI IPI
marehemu kanumba (R.I.P ) alifanyia msiba nyumba ya mwanaume mwenzake hapo alikua na almost 10 years katika uigizaji
kaacha kiwanja tu na alikua anapata mkwanja mrefu tu
TATIZO NI NINI JAMANI?????
 
Labda anakula ujana kwanza atamalizia baadae. Lakini angejifunza kwa wenzake kama Camilion na Baby cool wanamiliki majumba yao.
 
Wamekalia majungu badala ya kuchakarika kufanya kazi na wenyewe wamiliki hizo nyumba........

Post yake imakaa kimajungu majungu
 
Labda anakula ujana kwanza atamalizia baadae. Lakini angejifunza kwa wenzake kama Camilion na Baby cool wanamiliki majumba yao.

yaa leone yupo njema sana
ni role model maana ukijaribu kuangalia hakua na jingine lililompa mali zaidi ya muziki tofauti na davido baba ake yuko njema au letsay prezoo
 
hili pia huwa naliwaza SIJUI SABABU NI IPI
marehemu kanumba (R.I.P ) alifanyia msiba nyumba ya mwanaume mwenzake hapo alikua na almost 10 years katika uigizaji
kaacha kiwanja tu na alikua anapata mkwanja mrefu tu
TATIZO NI NINI JAMANI?????

wanaona MUNGU wao peke yao
 
aisee very nice nahisi litakuwa na ukubwa kama la olympic maana ni muda sana kama 3 years linajengwa namuaminia jamaa kwa masapraiz nahisi litakua poaa sana

inawezekana labda kuna siku waliziweka nyumba zake hapa
 
Lile ni jumba kubwa la kifahari!Litakuwa limevunja record!Miss u sanaaa!

me too miss u my dear niko busy ila niliko mtandao unasumbua sana airtel na tigo yaani ni shiida leo kila nikiingia unagoma
 
nacho fahamu Mullah ni cheo ama ngazi ya elimu ambayo amefikia muumin wa kiislam...kama uonavyo Mufti,Ayatollah n.k
 
Huyu jamaa ana publicity stunts mingi sana. Ngumu kujua kama anakosea au ni hizo sarakasi. Kiishiacho vema, kilikua chema.

Ajabu kama hana Range Rover Autobiography yenye 'name-plate' yake.

Najivunia mafanikio yake ijapo simpendi kihiivyo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…