masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
angemiliki jumba lake bna mambo ya kupanga tena dah ci anavuta mkwanja mrefu ci ajenge jaman
hili pia huwa naliwaza SIJUI SABABU NI IPI
marehemu kanumba (R.I.P ) alifanyia msiba nyumba ya mwanaume mwenzake hapo alikua na almost 10 years katika uigizaji
kaacha kiwanja tu na alikua anapata mkwanja mrefu tu
TATIZO NI NINI JAMANI?????