Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

She got what she deserves. Wao si wanaweka pesa mbele Mapenzi pembeni mpaka unamchukulia Mwenzio bwana ake.

BTW hii Si Mara ya kwanza kwa Dimond kufanya hivi. Hata Joket ali za kulishwa Pia kwa kuambiwa kuwa hana lolote kwenye sita kwa sita.
 
Interview iwe mwaka juzi au last month,swala la kulaaniwa ni hili la Dai kudeclare hadharani mambo personal!!Na hao X zake ndo wajifunze,mswahili ni mswahili tu hata umuhaishie Uswiss!
 

Yani diamond ndyo msanii anyeongoza kwa kutokua na kifua kuhimil mambo ya mapenz, ananiboaa likija hilo swala hajui tu!
 
Hahahaaa mm warumi ananipaga raha sana anapotoa ubuyu na kuanza kuchangia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Alisema kwenye Mkasi kama sijasahau kuwa Wema alimsaidia sana,leo hii ras Simba wake kawa Penny!!
 
Kwanini asiige mifano ya watu kama kina AY? Huwezi sikia akiongelea ishu zake personal au za watu wake wa karibu bila sababu ya msingi.
 
Dah... niliu-miss sana huu uzi! Bad enough nasikia uzi ulikula ban!!!! anyway, tupo na tutaendelea kuwepo kutoa support!
 
Huyu ukiwa naye usithubutu kujamba utaisikia habari yako kwenye interview!!wallahiii huyu Mswahili hatariii!

Hahhahaha walah hana staha, sema nyota yake ndyo kali maana pamoja na kuwadhalilisha bado watoto wakike wanajazanaa
 

kwenye red hapo ume andika bila kuwaza bila kutafakari i wonder huwa una mpondaga diamond kuwa na wanawake wengi halafu leo unasifia mtu kua na watoto wa nje ya ndoa kibao tena wa mama tofauti tofauti (??!!!?)...panapo uzuri sifia panapo ubaya kemea usi andike kwa ushabiki eti ikionekana una mponda kiba kuzaa holela utaonekana msaliti usipende kuandika kwa kufurahisha watu.

sio fan wa kiba but siwezi kuponda bila mpango ambapo panastahili sifa na siwezi kumsifia diamond panapo uozo.

heri ya xmass na mwaka mpya.
 
Huo ndio muziki wa kileo... hao wapiga kelele wake wa kwenye mitandao hata biashara ya muziki yenyewe hawaifahamu...

watu wana fungua thread kumchafua diamond sijui lengo ni kuona kijana mwenzao ana drop? wako wrong sana.
 

Mtoto wa mama tangu lini anaweza kuwa na kifua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…