Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani hata umpeleke akaishi New york ataenda na utandale wake
Umeangalia vizuri interview ya dai.hebu upendo wetu kwa dai usifunuke mpk yale mabaya yake na tuwe wakweli..mbona yeye ndo kila siku anaongea shit khs ex wake..mi ni mwanamke so nimeimagine hyo ndo mai ex..Yeye alipaswa kuongelea muziki wake vitu vingine ajifunze kuwa na kifua kwa hili hapana aiseee
sasa si usubiri wadau wachangie
sasa si usubiri wadau wachangie
ndomo kigeu geu wewe, si ulisema mama ubaya ndo kakufundisha kiingereza wew? mmh acha uchakubimbi wewe nfyuu
Kwanini asiige mifano ya watu kama kina AY? Huwezi sikia akiongelea ishu zake personal au za watu wake wa karibu bila sababu ya msingi.
Yani diamond ndyo msanii anyeongoza kwa kutokua na kifua kuhimil mambo ya mapenz, ananiboaa likija hilo swala hajui tu!
Huyu ukiwa naye usithubutu kujamba utaisikia habari yako kwenye interview!!wallahiii huyu Mswahili hatariii!
Huo ndio muziki wa kileo... hao wapiga kelele wake wa kwenye mitandao hata biashara ya muziki yenyewe hawaifahamu...lazima aige hana ujanja
From Mange, U-turn.
Hii interview dah, imenisikitisha mnoooooo, kwanini anaongea sasa huyu jamaaa? why tell people Penny alitoa mimba zake mbili? Hivi anajua implication ya hiyo kitu kwenye maisha ya Penny? kwanza its illegal kutoa mimba in Tanzania. Pili Penny anatoka familia ya kiislam, ana kaka zake, mama yake na ndugu zake. Kweli watamwangaliaje binti yao kujua alitoa mimba mbili za huyu jamaa?
Acha hiyo tu , Penny bado ni mdogo anahitaji kuolewa hivi ni mwanaume gani atafurahi kujua mkewe alitoa mimba 2 za mtu mmoja tu? Hivi huyu anajua jinsi wanawake wanavyoficha hiyo issue ya kutoa mimba? yani mtu hata uolewe ushindwe kuzaa au upate matatizo humwambii mumeo kuwa ulitoaga mimba. Kutoa mimba huwa ni siri ya mwanamke tena anakufa nayo mwenywe yeye na Dr aliemtoa mimba. Alafu yeye anamtangaza mtoto wa watu katoa mimba, tena sio moja, mbili. Yani kamtia yule mtoto doa kubwa mnooo. Na wale wanaomchambaga Penny huko instagram mbona ndo watapata cha kumchambia zaidi.
Diamond ni mdhalilishaji mnoooooooooo wa wanawake. He doesnt think akiwa anaongea, DAH KABOA MNOO. Hivi unaongeaje on TV kuwa gf wako alitoa mimba 2 tena unamtaja na jina? Huyu mtoto usupa star wake utakuja kuisha vibaya maana anaelekea pabaya sasa. Kusema ukweli mimi I thought wanaume wanaowapenda mama zao au walio close na mama zao huwa wanathamini sana wanawake ila huyu star wetu kaonyesha kuwa sio wote. duh. Hivi Petitman siku akiongea on tv kuwa Esma alitoa mimba 2 yeye atajiskiaje? atafurahi kweli? VERY SAD!
Ila pia mie kama naanza kumstukia huyu kakake Wema, analalamika Penny alitoa mimba zake, Wema alikataa kumzalia mtoto yani na usupa staa wake woooote kweli hawa wanawake woote wanakataa kumzalia? mie nahisi kama kijana wetu is shooting blanks!!! lol (kama hujui kithungu google). Yani kwa jinsi alivyo na wanawake kila leo lazma mmoja angejibebesha -mimba hata kwa kuiba condom na kujidunga sindano za **** ili imradi apate mimba Penny alivyokuwaga kafika kwa Diamond anasubiri ndoa kweli achomoe mimba mbili??? mweeeh??? mie naona kama anajitetea sana kuhusu swala la mimba? mdogo wangu Wema alivyokuwaga ready kufa juu ya Diamond na tayari kwa ndoa kweli akatae kuzaa nae? mmmmh!!!! asije tu baadae akasema na Zari nae alikataa kuzaa amzalishe tu hata kamoja, hahahahhahahaa..
Yaani the biggest supastar in East Africa unapiganiwa na mademu kona zote alafu eti wanawake hawataki kuzaa na wewe?? nani kaona hiyo???? yani by now Diamond alitakiwa awe na watoto wa kusingiziwa kama 10 hivi. lol Hamuoni mwezie Ali Kiba, kidume cha mbegu, UK ana mtoto, sijui na mji gani naskia ana mtoto Yani yeye akienda nchi za nje kwenye show lazma aache copy yake huko hahahahhahahah!
Huo ndio muziki wa kileo... hao wapiga kelele wake wa kwenye mitandao hata biashara ya muziki yenyewe hawaifahamu...
Umeangalia vizuri interview ya dai.hebu upendo wetu kwa dai usifunuke mpk yale mabaya yake na tuwe wakweli..mbona yeye ndo kila siku anaongea shit khs ex wake..mi ni mwanamke so nimeimagine hyo ndo mai ex..Yeye alipaswa kuongelea muziki wake vitu vingine ajifunze kuwa na kifua kwa hili hapana aiseee