Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

She got what she deserves. Wao si wanaweka pesa mbele Mapenzi pembeni mpaka unamchukulia Mwenzio bwana ake.

BTW hii Si Mara ya kwanza kwa Dimond kufanya hivi. Hata Joket ali za kulishwa Pia kwa kuambiwa kuwa hana lolote kwenye sita kwa sita.
 
Interview iwe mwaka juzi au last month,swala la kulaaniwa ni hili la Dai kudeclare hadharani mambo personal!!Na hao X zake ndo wajifunze,mswahili ni mswahili tu hata umuhaishie Uswiss!
 
Umeangalia vizuri interview ya dai.hebu upendo wetu kwa dai usifunuke mpk yale mabaya yake na tuwe wakweli..mbona yeye ndo kila siku anaongea shit khs ex wake..mi ni mwanamke so nimeimagine hyo ndo mai ex..Yeye alipaswa kuongelea muziki wake vitu vingine ajifunze kuwa na kifua kwa hili hapana aiseee

Yani diamond ndyo msanii anyeongoza kwa kutokua na kifua kuhimil mambo ya mapenz, ananiboaa likija hilo swala hajui tu!
 
Hahahaaa mm warumi ananipaga raha sana anapotoa ubuyu na kuanza kuchangia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Alisema kwenye Mkasi kama sijasahau kuwa Wema alimsaidia sana,leo hii ras Simba wake kawa Penny!!
 
Kwanini asiige mifano ya watu kama kina AY? Huwezi sikia akiongelea ishu zake personal au za watu wake wa karibu bila sababu ya msingi.
 
Dah... niliu-miss sana huu uzi! Bad enough nasikia uzi ulikula ban!!!! anyway, tupo na tutaendelea kuwepo kutoa support!
 
Huyu ukiwa naye usithubutu kujamba utaisikia habari yako kwenye interview!!wallahiii huyu Mswahili hatariii!

Hahhahaha walah hana staha, sema nyota yake ndyo kali maana pamoja na kuwadhalilisha bado watoto wakike wanajazanaa
 
From Mange, U-turn.

Hii interview dah, imenisikitisha mnoooooo, kwanini anaongea sasa huyu jamaaa? why tell people Penny alitoa mimba zake mbili? Hivi anajua implication ya hiyo kitu kwenye maisha ya Penny? kwanza it’s illegal kutoa mimba in Tanzania. Pili Penny anatoka familia ya kiislam, ana kaka zake, mama yake na ndugu zake. Kweli watamwangaliaje binti yao kujua alitoa mimba mbili za huyu jamaa?

Acha hiyo tu , Penny bado ni mdogo anahitaji kuolewa hivi ni mwanaume gani atafurahi kujua mkewe alitoa mimba 2 za mtu mmoja tu? Hivi huyu anajua jinsi wanawake wanavyoficha hiyo issue ya kutoa mimba? yani mtu hata uolewe ushindwe kuzaa au upate matatizo humwambii mumeo kuwa ulitoaga mimba. Kutoa mimba huwa ni siri ya mwanamke tena anakufa nayo mwenywe yeye na Dr aliemtoa mimba. Alafu yeye anamtangaza mtoto wa watu katoa mimba, tena sio moja, mbili. Yani kamtia yule mtoto doa kubwa mnooo. Na wale wanaomchambaga Penny huko instagram mbona ndo watapata cha kumchambia zaidi.

Diamond ni mdhalilishaji mnoooooooooo wa wanawake. He doesnt think akiwa anaongea, DAH KABOA MNOO. Hivi unaongeaje on TV kuwa gf wako alitoa mimba 2 tena unamtaja na jina? Huyu mtoto usupa star wake utakuja kuisha vibaya maana anaelekea pabaya sasa. Kusema ukweli mimi I thought wanaume wanaowapenda mama zao au walio close na mama zao huwa wanathamini sana wanawake ila huyu star wetu kaonyesha kuwa sio wote. duh. Hivi Petitman siku akiongea on tv kuwa Esma alitoa mimba 2 yeye atajiskiaje? atafurahi kweli? VERY SAD!

Ila pia mie kama naanza kumstukia huyu kakake Wema, analalamika Penny alitoa mimba zake, Wema alikataa kumzalia mtoto… yani na usupa staa wake woooote kweli hawa wanawake woote wanakataa kumzalia? mie nahisi kama kijana wetu is shooting blanks!!! lol (kama hujui kithungu google). Yani kwa jinsi alivyo na wanawake kila leo lazma mmoja angejibebesha -mimba hata kwa kuiba condom na kujidunga sindano za **** ili imradi apate mimba… Penny alivyokuwaga kafika kwa Diamond anasubiri ndoa kweli achomoe mimba mbili??? mweeeh??? mie naona kama anajitetea sana kuhusu swala la mimba? mdogo wangu Wema alivyokuwaga ready kufa juu ya Diamond na tayari kwa ndoa kweli akatae kuzaa nae? mmmmh!!!! asije tu baadae akasema na Zari nae alikataa kuzaa amzalishe tu hata kamoja, hahahahhahahaa..

Yaani the biggest supastar in East Africa unapiganiwa na mademu kona zote alafu eti wanawake hawataki kuzaa na wewe?? nani kaona hiyo???? yani by now Diamond alitakiwa awe na watoto wa kusingiziwa kama 10 hivi. lol… Hamuoni mwezie Ali Kiba, kidume cha mbegu, UK ana mtoto, sijui na mji gani naskia ana mtoto…Yani yeye akienda nchi za nje kwenye show lazma aache copy yake huko…hahahahhahahah!

kwenye red hapo ume andika bila kuwaza bila kutafakari i wonder huwa una mpondaga diamond kuwa na wanawake wengi halafu leo unasifia mtu kua na watoto wa nje ya ndoa kibao tena wa mama tofauti tofauti (??!!!?)...panapo uzuri sifia panapo ubaya kemea usi andike kwa ushabiki eti ikionekana una mponda kiba kuzaa holela utaonekana msaliti usipende kuandika kwa kufurahisha watu.

sio fan wa kiba but siwezi kuponda bila mpango ambapo panastahili sifa na siwezi kumsifia diamond panapo uozo.

heri ya xmass na mwaka mpya.
 
Huo ndio muziki wa kileo... hao wapiga kelele wake wa kwenye mitandao hata biashara ya muziki yenyewe hawaifahamu...

watu wana fungua thread kumchafua diamond sijui lengo ni kuona kijana mwenzao ana drop? wako wrong sana.
 
Umeangalia vizuri interview ya dai.hebu upendo wetu kwa dai usifunuke mpk yale mabaya yake na tuwe wakweli..mbona yeye ndo kila siku anaongea shit khs ex wake..mi ni mwanamke so nimeimagine hyo ndo mai ex..Yeye alipaswa kuongelea muziki wake vitu vingine ajifunze kuwa na kifua kwa hili hapana aiseee

Mtoto wa mama tangu lini anaweza kuwa na kifua?
 
Back
Top Bottom