Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

kitu alicho kifanya domo jana acheni kabisa alikiba nenda tena uka vuke mtoo huyu jama si dhani kama uta mpata. domo ni fundi wa mziki .kwa dizaini ile domo hachuji leo wala kesho.. duuuuh.....

Sasa mkuu hapa alikiba anaingia vipi?? Mbona mada iko wazii kuhusu au ni ushabiki wakipumbavuu tu unaendekeza jifunze kujenga hoja nasio kukurupukaa paka wewee
 
wakuu, chige christmas BestOfMyKind Innocizy Kim nana nakumbuka wakati Kiba anarudi nilikuwa nakoment hapa kwamba washabiki wasimjaze ujinga kosa kubwa sana analofanya ni kurudi huku anajitanabaisha kaja kupambana na Diamond, watu hawakunielewa nikaitwa majina mengi.

Niliwaambia kama Kiba ameamua kupambana na Diamond basi inatakiwa apambane kweli kweli mpaka amfikie au amzidi coz akishindwa kuonyesha upinzani atazidi kumpa nguvu diamond na yeye atakuwa amejizika rasmi. Na kwenye hili kazi ndio itaamua, yanaanza kuonekana sasa.

Kiba alifanya makosa kurudi kwa gear ya kumchallenge diamond yeye angekuja na muziki wake, asingeonyesha kinyongo kwa mwenzie coz akumnyang'anya chochote na angeeleweka sana kwa watu haswa mashabiki die hards wa diamond ambao ni wengi na Kiba automatically aliwageuza kuwa wapinzani wake bila kujijua.

Na ukiangalia mashabiki wa sasa wa Ali Kiba sio mashabiki wa kweli wa Kiba coz hawakuwai kuwa mashabiki wa Kiba hapo mwanzo wengi ni haters wa Diamond ambao waliamini wanaweza kumtumia Kiba kumnyoosha Dai. Mashabiki wa kweli wa Kiba sio watu wa kelele wanajulikana ata nature ya mziki wa Kiba inajieleza, awa mashabiki wa mpito ndio wanaomuaribu Kiba.

Nakumbuka kuna thread nilieleza mengi baada ya ile zomeazomea
 
Last edited by a moderator:
huyo jamaa ni shabiki wa wasanii wote duniani isipokuwa diamond.sijui kamfanyaje had ana mchukia

zai katoto huyo Matola ni loser habari zake zinajulikana sana umu jf, ni milungi addict na ana mkono mrefu....Kikubwa anachochukia kwa dangote ni mafanikio.

Wakati yeye umillionea wake inaishia kwenye thread za jf mwenzake chibu anafanya kweli,mtoto mdogo anapush ndinga kali mijengo kama idadi ya vidole vya matola tena mjini hapa hapa, account nene, mabebez ndio usiseme, mitikas kila akiamka inakuja mipyaaa na pesa ndefu....Kuna kijana asiyependa maisha kama aya akiwa under 30 yrs? sasa dizain ya akina matola badala ya ku-hustle wana hate yani pure uswahili.
 
Last edited by a moderator:
Ulichosema matumbo ni true... Kiba alitakiwa kuja kimya kimya kwa sababu ukiangalia mashabiki wengi wa Chibu hawana tatizo na Kiba; tatizo lilikuja pale aliporudi na nyodo huku mashabiki wake maandazi ambao walijawa na nongwa miaka yote hii wakdhani ndo basi tena! Kutokana na hilo, akina sisi ambao tulikuwa tunam-support vile vile kwa kuwa tunachojali ni muziki mzuri...sawa na unapokuwa shabiki wa Man U huku ukitoa respect Arsenal hata kama hawana vikombe; hatimae ndipo tukaja kuona kumbe ni uboya pale mashabiki wa Kiba walipoanza nyodo za kipuuzi ambazo kimsingi hadi leo hata wenyewe ukiwauliza ni mafanikio gani wanayopigia kelele sidhani kama ana jibu... zaidi ya midume mizima kukesha mitandaoni kushikia umalaya wa wanaume wenzao utafikiri ni wao ndio walitaka wachukue hiyo nafasi ya akina Zari!

Kwamba mashabiki wengi wa Kiba tunaowaona hapa sio mashabiki kindaki ndaki wa Kiba ni very true... hata mimi nishawahi kusema hapa... hawa wengi wao ni haters walioingia kwa mtindo wa adui wa adui yako ni rafiki!!
 
Last edited by a moderator:
na ameshinda dhidi ya Ali Kiba na wengine iwe noted.

Tatizo lao walidhani pale fiesta ndio Tanzania nzima.... Clouds walitaka kupima upepo ila ukawasomba now wamejirudi wapo kimya....
Nawalaumu sana clouds kwa hili..
Alikiba hakustahili kuchochewa vile na pia na yeye hakutakiwa kuingia kichwa kichwa....hakujua anawapa maneno watu.
 

Na mm pia nakumbuka na nikakuunga mkono kwa ile sired ingawa watu wakatokwa povu balaa..
Anyways ndio maisha aliyochagua lakini...mbona kina blue wako poa tu na jamaaa na wanapiga kazi na Pesa wanaingiza(ktk fiesta iloisha jamaa kaenda mikoa 18 zidisha kwa mil2 kwa kila mkoa)
Hao ndo watu wanaojua..kuna kaka yangu maneno mengi Dully(mm huyuu ndo naonaga icon wa bongo fleva) anajua sana kuwapokea vijana sana...ndo maana yupoo beneti na chibu na wengine....maana anajua zamani alitamba ila sasa anaendea ile reputation yake tu lakini kuna watu ni zamu yao kutamba kama alivyotamba...huwa namwelewa sana..
 
Last edited by a moderator:

Kwa maelezo yake mengi ya nimesoma na flani au mwaka flani nilikua mahali flani...jamaa ni above 30....atakuwa sawa au kazidiwa just a year na LB
 
Last edited by a moderator:

Lakini Ali nae alikosea sana kuwasikiliza hawaa mashabiki maandazi.....
Alitakiwa arudi tu kama ambavyo alikua anarudi miaka yote...
Wawe wanajifunza kwa AY ambae hata chibu kakiri ndie aliyewafundisha kwenda international,ushasikia ana tatizo na mtu???? Au ushasikia anajitapa kwamba yeye ndo king wa kutoka kimataifa???? Halafu wananishangazaga sana kusema jamaa hana makuu,sijui huwa wanasema kwa misingi ipiii....nijuacho mm jamaa ni ana kibri cha chini chini..
 
Last edited by a moderator:
Ali k must collaborate with chibu to solve this for TANZANIA interest
 
Ali k must collaborate with chibu to solve this for TANZANIA interest
Moja kati ya tweet nzuri asubuhi hii, jamaa wanasapotiana halafu wapo wengi raha sana...wabongo tupo wachache halafu tunazomeana FIESTA mwisho wetu unakaribia, hatutasikika hata Uganda hapo
 
Kila ka kheri Diamond,
Aliyetoka katoka tu.
Mamndenyi nilivyosikia show hiyo walikuwepo pia wasanii wengine wakiwamo wa Taarabu. Na kama tujuavyo taarabu nayo inao wapenzi wengi sana. Iweje atajwe mmoja tuu kuwa ndiye aliyesababisha wingi wa watu?
 
Last edited by a moderator:
alikuwa na mzee yusuph na kama unavyofahamu taarab na mbagala

Mfalme,jahazi popote nyomi ya kufa mtu lazima

Mamndenyi nilivyosikia show hiyo walikuwepo pia wasanii wengine wakiwamo wa Taarabu. Na kama tujuavyo taarabu nayo inao wapenzi wengi sana. Iweje atajwe mmoja tuu kuwa ndiye aliyesababisha wingi wa watu?

Kumbe na nyinyi ni haters ehee!? Mzee Yusuf anamjuwa nani? Labda akafanye show masaki na Jahazi lake.
 
Last edited by a moderator:
kitu alicho kifanya domo jana acheni kabisa alikiba nenda tena uka vuke mtoo huyu jama si dhani kama uta mpata. domo ni fundi wa mziki .kwa dizaini ile domo hachuji leo wala kesho.. duuuuh.....

Kwahiyo Mzee Yusuf tulimfunika kabisa?
 
Tatizo mnabishana watu wa volleyball na basketball na kutaka kujua nani zaidi. Mwandaaji aliwaita wote wafalme nyie mpo tofauti. kwa wilaya za ilala na temeke Mzee Yusuf anatisha. Ukienda kinondoni Diamond anatisha.
 
Tiketi uku Burundi zimeisha anza kuuzwa ili kumshudia msanii bora kwa Afrika mashariki, noma xana uku Bujumbura.
 
Kumbe na nyinyi ni haters ehee!? Mzee Yusuf anamjuwa nani? Labda akafanye show masaki na Jahazi lake.
Matola vipi tena? Mie na hayo mambo wapi na wapi? Mie nimeuliza kuwa nimesikia walikuwepo na wengine mbona anatajwa mmoja tuu? Kosa langu liwapi hapo? Kazi ya huyo kijana hata mie naiona na nafurahishwa na juhudi zake ila nilitaka kujua hilo tuu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…