wakuu,
chige christmas BestOfMyKind Innocizy Kim nana nakumbuka wakati Kiba anarudi nilikuwa nakoment hapa kwamba washabiki wasimjaze ujinga kosa kubwa sana analofanya ni kurudi huku anajitanabaisha kaja kupambana na Diamond, watu hawakunielewa nikaitwa majina mengi.
Niliwaambia kama Kiba ameamua kupambana na Diamond basi inatakiwa apambane kweli kweli mpaka amfikie au amzidi coz akishindwa kuonyesha upinzani atazidi kumpa nguvu diamond na yeye atakuwa amejizika rasmi. Na kwenye hili kazi ndio itaamua, yanaanza kuonekana sasa.
Kiba alifanya makosa kurudi kwa gear ya kumchallenge diamond yeye angekuja na muziki wake, asingeonyesha kinyongo kwa mwenzie coz akumnyang'anya chochote na angeeleweka sana kwa watu haswa mashabiki die hards wa diamond ambao ni wengi na Kiba automatically aliwageuza kuwa wapinzani wake bila kujijua.
Na ukiangalia mashabiki wa sasa wa Ali Kiba sio mashabiki wa kweli wa Kiba coz hawakuwai kuwa mashabiki wa Kiba hapo mwanzo wengi ni haters wa Diamond ambao waliamini wanaweza kumtumia Kiba kumnyoosha Dai. Mashabiki wa kweli wa Kiba sio watu wa kelele wanajulikana ata nature ya mziki wa Kiba inajieleza, awa mashabiki wa mpito ndio wanaomuaribu Kiba.
Nakumbuka kuna thread nilieleza mengi baada ya ile zomeazomea