Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Salaamu zangu za kwanza aah zende kwa mola na mama,
Za pili...................
 

Attachments

  • 1415994580664.jpg
    48.7 KB · Views: 115
  • 1415994596471.jpg
    55.9 KB · Views: 107
  • 1415994612215.jpg
    56.1 KB · Views: 108
  • 1415994632972.jpg
    56.7 KB · Views: 96
Almas ni rahisi sana kukaa pamoja na dhahabu kwasababu vyote vinauzika.
 

Attachments

  • 1415994815175.jpg
    50.6 KB · Views: 111
Me nliona aibu kuserebuka mbele za watu lol...ila hatari sana. Mashost wamecheza hadi jashoo....

Utaachajee mi siwezii ule mdundo hunipa kiwewe
Ni sawasawa ipigwe shake your body weeeeee
 
Haha hahaha .. kama nakuona diamond noma. .. niko insta na popcorn flora lymo kanunua ugomvi na mange .. michambo 1st class

Leta hizo screenshot basi na sie tuone mtanangeeeee
 
 
By geniveros

hahahaaaaaa
watu mna maneno jamani



Ushuzi wao wakajambe huko kwenye thread waliotuiga na imebuma.

Naomba na nasisitiza tena tuheshimu Le Tamkooz, haturuhusiwi kwenda kucomment mtaa wa pili wa waigizaji, tubaki hapa kwa raha zetu, waacheni wadode na siredi yao ya kutuiga, hawana ubunifu kabisa hawa viumbe.​




  • katika pitapita zangu nimekutana na hii kutoka kwa mashabiki wa ally kiba.........nilikuwa sijui kumbe kuanzisha special thread ni kuwaiga Team kiba......???

    hivi kumbe hadi Jf kuna marathon za kuanzisha thread maana naona mpaka watu wanakatazana wasije humu kweli Dimond anatisha kama Tezi Dume
 

Hahahaaaaaaaa......eti tezi dumee...
 

watoto hao wana shindana kujaza page kwenye sred.
 

ha ha ha.....
 

haya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…