Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan harusini ikipigwa mdogo mdogo nachezajeeeee
Me nliona aibu kuserebuka mbele za watu lol...ila hatari sana. Mashost wamecheza hadi jashoo....
Salaamu zangu za kwanza aah zende kwa mola na mama,
Za pili...................
Yaan harusini ikipigwa mdogo mdogo nachezajeeeee
Haha hahaha .. kama nakuona diamond noma. .. niko insta na popcorn flora lymo kanunua ugomvi na mange .. michambo 1st class
Binadamu turudi kwetu hapa wanakuchokoza ili uwajazie page au ujaona mtu mmoja anabandika post 10 kwa. Dakika 2? Kiba anakaribia page ya 70 kule kwetu.
aliyeanzisha huu uzihakuwa na malengo ya kujaza page au mashindano ya page......hata hivyo bila kuanzisha bif na dai hako kathread chenu mngejadili na nani sjui
Salaamu zangu za kwanza aah zende kwa mola na mama,
Za pili...................
aliyeanzisha huu uzihakuwa na malengo ya kujaza page au mashindano ya page......hata hivyo bila kuanzisha bif na dai hako kathread chenu mngejadili na nani sjui
Ndo ushangae na imekaa muda hiyo thread, bila kuichangia sie ingekomea page 3
Ndo ushangae na imekaa muda hiyo thread, bila kuichangia sie ingekomea page 3
washukuru Mungu makamanda tulikuwa tumepanic ila sahizi tumetulia tuliiii ili chema kijiuze na kibaya kijitembeze
washukuru Mungu makamanda tulikuwa tumepanic ila sahizi tumetulia tuliiii ili chema kijiuze na kibaya kijitembeze
Mtaji matusi ...

By geniveros![]()
hahahaaaaaa
watu mna maneno jamani
Ushuzi wao wakajambe huko kwenye thread waliotuiga na imebuma.
Naomba na nasisitiza tena tuheshimu Le Tamkooz, haturuhusiwi kwenda kucomment mtaa wa pili wa waigizaji, tubaki hapa kwa raha zetu, waacheni wadode na siredi yao ya kutuiga, hawana ubunifu kabisa hawa viumbe.
katika pitapita zangu nimekutana na hii kutoka kwa mashabiki wa ally kiba.........nilikuwa sijui kumbe kuanzisha special thread ni kuwaiga Team kiba......???
hivi kumbe hadi Jf kuna marathon za kuanzisha thread maana naona mpaka watu wanakatazana wasije humu kweli Dimond anatisha kama Tezi Dume
Naisubiria.!!!!Hahaha poa kaka,naendelea muda si mrefu......
Itahusu "maisha ya kistaa ya Diamond na korosho za watanzania"
Stay tuned
By geniveros![]()
hahahaaaaaa
watu mna maneno jamani
Ushuzi wao wakajambe huko kwenye thread waliotuiga na imebuma.
Naomba na nasisitiza tena tuheshimu Le Tamkooz, haturuhusiwi kwenda kucomment mtaa wa pili wa waigizaji, tubaki hapa kwa raha zetu, waacheni wadode na siredi yao ya kutuiga, hawana ubunifu kabisa hawa viumbe.
katika pitapita zangu nimekutana na hii kutoka kwa mashabiki wa ally kiba.........nilikuwa sijui kumbe kuanzisha special thread ni kuwaiga Team kiba......???
hivi kumbe hadi Jf kuna marathon za kuanzisha thread maana naona mpaka watu wanakatazana wasije humu kweli Dimond anatisha kama Tezi Dume
Mswahili mnafki sana...
Hapo akiwa analala usiku anamtumia baby wake dedication "ukilala lala salama kumbatia picha yangu"
Sasa kama dai angeimba ukimwi sijui angemdediketia nn baby wake hahaha.....
Binadamu,mabomu gongo la mboto sijui nazo mapenzi????
Nampenda diamond ila haimaniishi namchukia Kiba, sio kweli kuwa nyimbo za Domo zinapendwa kwenye vigodoro.
Angalia amealikwa sehemu ngapi, ameshiriki tuzo ngapi na ameshirikiana na wanamziki wangapi.
Ina maana huko kote wanapenda vigodoro hadi aalikwe.
Napenda tuwe na kina diamond hata kumi ndani ya nchi yetu, ila kila mtu afanikiwe kwa juhudi zake sio kwa mgongo wa mwenzie na chuki binafsi.
Siku hizi mziki biashara na ndio anachofanya domo ndio maana skendo kwanza wimbo unafuata then show zinajipanga.
Mwacheni Kiba atumie uwezo wake kuteka soko la mziki.
Mwacheni domo aitangaze Tanzania kwa mziki wake mzuri wa kibiashara.
Kama shabiki wa diamond Namshauri aanze mazoezi ya bend hata kama hana vyombo awe anakodi mara mojamoja baadae anakua mzoefu mbona FA aliwai kupiga na wananjenje.
Kiba aanze kufanya mziki wa biashara sio watu wanasifia halafu baadae wanaenda kulipa kiingilia 50000 kwa domo.
Ninaoenekana mjinga ila kwetu nilifunzwa..eehhhh...
nananananah......najua napingwaaaaaaa