Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Diamond aconcentrate na show za nje!za ndani atajipa stress tu hususani akiwa jukwaa moja na kiba. ..nguvu aliyotumia jana kuwakodi masela wa friends rangers ya kina mzozo na bado haikuwa vile. .itamsumbua kisaikolojia japo fans wake wanachukulia poa
Hoyaaa... sio namba yako hii, hii sio namba ya ku-argue na wauza sura unless kama una lengo la kunitangazia biashara haramu inayolaaniwa na kila mwanadamu!
jana tuliwaoverdozi walahi, mara gafla makopo chini mikonoo juu kudaka pesaa, chezeya njaa, Dangote ni kwi kwi haizimwi kwa makopo wala zomea zomea na bado hajawapalia.
nimeamini mashabiki wa kiba wana njaa wallah yaan baada ya kuonyeshewa pesa tu kila mtu akasahau kuwa alienda kwa lengo la kuzomea wakabaki wanashangilia
nimeipenda hii
View attachment 221460
dah... sure wangu!!achana nae huyo jamaa.
TOFAUTISHA MSABALA NA KUJUmLISHA HAPA: [MENTION=11076]diamondplatnumz ..
..
*msanii wa kwwnza Tz kutoa ajira nyingi kwa vijana tena zenye maslahi makubwa *Msanii wa kwanza Tz kumiliki na kuongoza Crew ya watu wasafi tuu
1. Msanii wa kwanza East Africa kushinda tuzo tatu za Channel O
2. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kushinda tuzo 7 za kili music awards
3. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo kubwa duniani za BET
4. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards
5. Msanii wa kwanza Tanzania kushinda tuzo kubwa nchini Nigeria 'Future awards'
5. Msanii wa kwanza Tanzania mwenye influence kubwa zaidi kuwahi kutokea
6. Msanii mwenye influence kubwa ktk social networks
7. Msanii anayelipwa pesa nyingi zaid kwenye show kuliko msanii yeyote africa mashariki
8. Msanii mwenye ulinzi mkali zaidi kuliko msanii yeyote afica mashariki.
10. Msanii aliefanya kazi kubwa zaidi kuinua maslahi ya wasanii katika shows, kwa kupandisha kiwango cha malipo katika shows zake (hata wanaomchukia/wanaoshindana nae cjui wwngekua wapi leo??)
11. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kufanya collable nyingi za nje.
12 Msanii wa kwanza Tanzania kuwa na video nyingi zenye views zaidi ya million mbili youtube.
13. Msanii pekee East Africa anayeweza kupiga shows sehem yeyote East & Central Africa na akajaza uwanja wa mpira peke yake.
14. Msanii pekee Tanzania ambae anafahamika zaidi nje ya nchi.sifa zinaendelea ongeza na wewe..
15-Msanii wa kwanza Tz ambae anajua kuvaa kuendana na fashion inasemaje na uvaaji wake umekua mfano kwa kila.kijana wa kileo..
16-Msanii anayeongoza kuwapatia riziki wanahabari yaani magazeti & blogs kupitia habari zinazomuhusu
Ongeza hapo
Msanii wa kwanza kuzomewa ktk tamasha la fiesta tangu kuanza kwako
Msanii wa kwanza kupigwa makopo maisha club
Msanii wa kwanza kupigwa ujerumani kwa kuchelewa ukumbini
Msanii wa kwanza kutembelea nyota za mademu
Msanii mwenye akili za kitoto stejini kwa kitendo cha kubaki na boxer!!ukumbini
Msanii wa kwanza mwenye mdomo mkubwa africa
Msanii wa kwanza kuimba nyimbo za mapenzi tu!!! Hana idea zingne tena mpaka azinguane na demu ndo apate cha kuimba
Mungu ampe Maisha marefu huyu kijana
Usiwe na shaka..Diamonds are forever !
mkaushie tu naona amesha anza matusi lengo lake sio jema anataka uzi ufungiwe.
Ha ha ha sio level yangu wewe.......nna shughuli nyingi zakufanya.
mnajisikiaje kutukana au kuongea maneno ya kipuuzi, hebu mjiheshimu basi sio fresh wala nini..
usiniambie eeeh kumbe umemwagika hujaoga una siku ngapi au tatizo maji
mnajisikiaje kutukana au kuongea maneno ya kipuuzi, hebu mjiheshimu basi sio fresh wala nini..