Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond aconcentrate na show za nje!za ndani atajipa stress tu hususani akiwa jukwaa moja na kiba. ..nguvu aliyotumia jana kuwakodi masela wa friends rangers ya kina mzozo na bado haikuwa vile. .itamsumbua kisaikolojia japo fans wake wanachukulia poa

kiba kafanya nini jana kwa mfano??? kuruka ukuta ndio kikubwa nilichokiona, alafu nini maana ya kuzomea, jibu lipo wazi ni dalili ya wazi kuwa unayemzomea humuwezi hivyo unatafuta njia mbadala, sasa cha kumfanya diamond aogope kupanda jukwaa moja na kiba ni nini?? kuzomewa??? kajipangeeee
 
Hoyaaa... sio namba yako hii, hii sio namba ya ku-argue na wauza sura unless kama una lengo la kunitangazia biashara haramu inayolaaniwa na kila mwanadamu!

achana nae huyo jamaa.
 
jana tuliwaoverdozi walahi, mara gafla makopo chini mikonoo juu kudaka pesaa, chezeya njaa, Dangote ni kwi kwi haizimwi kwa makopo wala zomea zomea na bado hajawapalia.

nimeamini mashabiki wa kiba wana njaa wallah yaan baada ya kuonyeshewa pesa tu kila mtu akasahau kuwa alienda kwa lengo la kuzomea wakabaki wanashangilia
 
habari ya mondi sio ya Afrika tena, jana kapinda kama MJ, kimyaaa wote

nimeipenda hii
1422190086818.jpg
 
nimeamini mashabiki wa kiba wana njaa wallah yaan baada ya kuonyeshewa pesa tu kila mtu akasahau kuwa alienda kwa lengo la kuzomea wakabaki wanashangilia

tena njaa kubwa walokosa hela wamebak kupiga kelele JF TIGO liandaliwe tamasha lingine nao wapate mgao
 
barcelona ikicheza na yanga hata kama refa atakuwa manji halafu watanzania watupu ndo waingie uwanjani ni lazma barcelona itashinda so diamond ni barcelona na kiba ni km yanga tu
 
TOFAUTISHA MSABALA NA KUJUmLISHA HAPA: [MENTION=11076]diamondplatnumz ..
..
*msanii wa kwwnza Tz kutoa ajira nyingi kwa vijana tena zenye maslahi makubwa *Msanii wa kwanza Tz kumiliki na kuongoza Crew ya watu wasafi tuu
1. Msanii wa kwanza East Africa kushinda tuzo tatu za Channel O
2. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kushinda tuzo 7 za kili music awards
3. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo kubwa duniani za BET
4. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nominated kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards
5. Msanii wa kwanza Tanzania kushinda tuzo kubwa nchini Nigeria 'Future awards'
5. Msanii wa kwanza Tanzania mwenye influence kubwa zaidi kuwahi kutokea
6. Msanii mwenye influence kubwa ktk social networks
7. Msanii anayelipwa pesa nyingi zaid kwenye show kuliko msanii yeyote africa mashariki
8. Msanii mwenye ulinzi mkali zaidi kuliko msanii yeyote afica mashariki.
10. Msanii aliefanya kazi kubwa zaidi kuinua maslahi ya wasanii katika shows, kwa kupandisha kiwango cha malipo katika shows zake (hata wanaomchukia/wanaoshindana nae cjui wwngekua wapi leo??)
11. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kufanya collable nyingi za nje.
12 Msanii wa kwanza Tanzania kuwa na video nyingi zenye views zaidi ya million mbili youtube.
13. Msanii pekee East Africa anayeweza kupiga shows sehem yeyote East & Central Africa na akajaza uwanja wa mpira peke yake.
14. Msanii pekee Tanzania ambae anafahamika zaidi nje ya nchi.sifa zinaendelea ongeza na wewe..
15-Msanii wa kwanza Tz ambae anajua kuvaa kuendana na fashion inasemaje na uvaaji wake umekua mfano kwa kila.kijana wa kileo..
16-Msanii anayeongoza kuwapatia riziki wanahabari yaani magazeti & blogs kupitia habari zinazomuhusu
Ongeza hapo

Msanii wa kwanza kuzomewa ktk tamasha la fiesta tangu kuanza kwako

Msanii wa kwanza kupigwa makopo maisha club

Msanii wa kwanza kupigwa ujerumani kwa kuchelewa ukumbini

Msanii wa kwanza kutembelea nyota za mademu

Msanii mwenye akili za kitoto stejini kwa kitendo cha kubaki na boxer!!ukumbini

Msanii wa kwanza mwenye mdomo mkubwa africa

Msanii wa kwanza kuimba nyimbo za mapenzi tu!!! Hana idea zingne tena mpaka azinguane na demu ndo apate cha kuimba
 
Msanii wa kwanza kuzomewa ktk tamasha la fiesta tangu kuanza kwako

Msanii wa kwanza kupigwa makopo maisha club

Msanii wa kwanza kupigwa ujerumani kwa kuchelewa ukumbini

Msanii wa kwanza kutembelea nyota za mademu

Msanii mwenye akili za kitoto stejini kwa kitendo cha kubaki na boxer!!ukumbini

Msanii wa kwanza mwenye mdomo mkubwa africa

Msanii wa kwanza kuimba nyimbo za mapenzi tu!!! Hana idea zingne tena mpaka azinguane na demu ndo apate cha kuimba

" binadamu, gongo la mboto, nikifa kesho, tutashinda " fanya research kabla ya kuja kutapika mashudu. Wewe una " DiamondPhobia " kama wenzako. Nikushauri tu kwamba unaweza kuishi kwa raha ukiwa unayaona mazuri ya nasibu ambayo ni mengi kuliko madhaifu yake. Fanya maamuzi sahihi mapema utakufa kwa ujinga usio na faida. Mtazomea leo, kesho ataweka kiingilio elfu hamsini tuingie wastaarabu tu mbaki mnalalamika burudani inawabagua.
 
mkaushie tu naona amesha anza matusi lengo lake sio jema anataka uzi ufungiwe.

hao washamba ni wa kupotezea, mimi nawaangalia tu wanavyojipitisha pitisha hapa kulazimisha matusi, nachekaje, wanatafuta pa kunguzia stress zao hao msiwape credit kabisa, ona mimacho yao ilivyowatoka kama ngedere aliyeenda shamba akakuta mahindi yameshavunwa. pyeeeeeee!!!
 
mnajisikiaje kutukana au kuongea maneno ya kipuuzi, hebu mjiheshimu basi sio fresh wala nini..
 
mnajisikiaje kutukana au kuongea maneno ya kipuuzi, hebu mjiheshimu basi sio fresh wala nini..

Point taken.....mtu akija kiheshima anajibiwa kiheshima ila akijifanya hajielewi basi atakutana na ndimu mkata shombo.

Ili jukwaa huru hakuna mwenye hati miliki yakumfanya mwingine asichangie.Hope umeelewa
 
mnajisikiaje kutukana au kuongea maneno ya kipuuzi, hebu mjiheshimu basi sio fresh wala nini..

fatilia maelezo yake ya tangu jana usiku juu yangu then uangalie nani alianza na maneno ya shombo,anajiona yeye ni kichaa wa muhimbili kumbe wengine ni vichaa wa mirembe kabsa
 
Back
Top Bottom