Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

So true huyo Domoimondi is just a lucky joker. Mziki hakuna pale. Hata huyo Kiba zero. Lakini jamii yetu inata futa na ku create fake heroes
 
Usivyomkubali wewe lkn ushaonesha una mkubali,mwacheni dogo afanye yake kapata nafasi kaitumiaaa. ...
Kila kitu kina hitaji pro hata biashara lzma uifanyie matangazo ili iuzike
 
So true huyo Domoimondi is just a lucky joker. Mziki hakuna pale. Hata huyo Kiba zero. Lakini jamii yetu inata futa na ku create fake heroes
Acha wivu! Angalia historia ya hyo msanii katoka wapi na sahv alipofikia
Hata kama syo shuja kwako anaweza akawa shujaa kwake mwenyewe
 
Chekecha cheketua ama nene? we kichwa ufuto kweli!
Soma maana ya muziki kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…