Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
na we fanya hizo promo ili zikubebe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukuta aliubomoa yeye ili ujengwe upya,
taarifa zako za kiba peleka kwake, DIAMOND ANAPENDWA AND THATS WHAT MATTERS! acha wivu tafuta pesa zako na wewe at least umsogelee! kha!
sawa secretary wa dimondo nilikumiss sana bibie!!!:smile-big:
So true huyo Domoimondi is just a lucky joker. Mziki hakuna pale. Hata huyo Kiba zero. Lakini jamii yetu inata futa na ku create fake heroes
Diamond ni moja ya wanamziki wanaojulikana lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa hajui kutunga nyimbo nzuri na zenye mvuto nyimbo zake za kawaida sana mfano.
Nitampata wapi halafu ukisoma jina lake tu unajua ameongelea nini, hazimpi changamoto msikilizaji. huyu Diamond anabebwa sana na promo na ndio maana anatumia gharama kubwa kufanya promo huku akitumia gharama ndogo kutunga nyimbo,ajaribu kumuiga King Kiba.
Acha wivu! Angalia historia ya hyo msanii katoka wapi na sahv alipofikiaSo true huyo Domoimondi is just a lucky joker. Mziki hakuna pale. Hata huyo Kiba zero. Lakini jamii yetu inata futa na ku create fake heroes
We jamaa kama unachukia sana nenda kanywe supu ya mchanga
Mtoa uzi nina wasiwasi na jinsia yako maana una wivu ka bi mdogo.
We jamaa kama unachukia sana nenda kanywe supu ya mchanga
Chekecha cheketua ama nene? we kichwa ufuto kweli!Diamond ni moja ya wanamziki wanaojulikana lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa hajui kutunga nyimbo nzuri na zenye mvuto nyimbo zake za kawaida sana mfano.
Nitampata wapi halafu ukisoma jina lake tu unajua ameongelea nini, hazimpi changamoto msikilizaji. huyu Diamond anabebwa sana na promo na ndio maana anatumia gharama kubwa kufanya promo huku akitumia gharama ndogo kutunga nyimbo,ajaribu kumuiga King Kiba.
milele milele amina! Hakuna kumsaliti, kijana anajituma, anahitaji our support!team dangote