Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

umetiiisher sana msemaji wa dimondo..hivi unakumbuka kupiga kura lakini...baadae stakii lawama bwahahahahah..
 
Ndugu usicho jua ki kwamba basata ndio walio alibu ktma ya mwaka huu ..wanadanganya watu kuwa wslioiga kula saws kula piga ila kuwatu wanaitwa majaji handio walio pewa pesa na kualibu matokeo sio kama diamondplanamz alishindwa
 
Last edited by a moderator:
Heeeeeee huyu ni zingifuri ninayemjua mimi? Ebu nifah ujege na huku Ms.Lincoln Avemaria Diva Beyonce Mrembo by Nature Matola The Name pwilo geniveros njooni wote jaman msikose huu ushauri.
Kumbe wanajua sababu eee kazi kwao

heheh zingifuri katishaaa!!
Sijui kwanini hapendi kutumia id yake ya siku zote.

Reputation muhimu sana hata iweje.
Japo kuna watu watabishi kisa dai star.

Ukweli Dai ni mwenzetu na anatuwakilisha na tulitakiwa tumpigie kura and kitendo cha kuacha kumsupport na kwenda kuanzisha kampeni ya kuwasupport wengine sio vizuri na lazima kimuume aidha yeye au mashabiki wake na wengineo hasa ukizingatia vipengele alivyopo ni vigumu kwake. ila bhana kuna mambo yanaudhi mpaka inafikia mahala unaamua tu nyeusi na iwe nyeusi. (here I rest my case) na ndo maana mimi nasubiria tu kuja kuzilamba ndimu na kuvunja maapple na dada yangu KOKUTONA nae kaniambia niongeze na maembe lol
 
Last edited by a moderator:
Ndugu usicho jua ki kwamba basata ndio walio alibu ktma ya mwaka huu ..wanadanganya watu kuwa wslioiga kula saws kula piga ila kuwatu wanaitwa majaji handio walio pewa pesa na kualibu matokeo sio kama diamondplanamz alishindwa

Mimi sidhani kama ni issue platnumz kushindwa coz na yeye ni mshindani kama walivyokuwa wengine.
Binafsi ukiachana na ukiba nilionao ile nyimbo ya mwana ilikuwa ni kikwazo sana tokana na ilivyopokelewa hata kwenye kile kipendele cha video bora laiti ka pacha wangu ya rich mavoko ingekuwemo.....hiyo nayo ilikuwa ni tuzo nyingine ambayo platnumz alikuwa anaikosa bila ubishi.
 
Last edited by a moderator:
Mama weeeee! Hadi sasa siamini kama ni zingifuri ndio kafanya hivi.Basi lile bifu letu limeisha mwaya, kiroho safi maana umenifurahisha haswaaaa...lol
Huo ndio ukweli ambao mashabiki wengi wa domo hawataki kuusikia/kuukubali.
Wengi wanajitoa fahamu (huenda hawajui) kua domo ndiye aliyeanzisha kumsema vibaya Kiba jambo ambalo binafsi lilinikera mnoooo!
Hapo ndipo nilipoanza kumkataa huyu jamaa.
All in all umemaliza yote, naishia hapa maana nitaharibu FACTS AND EVIDENCE nzito ulizomwaga hapa.
 
Last edited by a moderator:

Wewe usilete hizo lazima nikuquoooote, Diamond anakula makombo ya Ivan, mbunye ishatotowa watoto watatu kuna makombo zaidi ya hayo?
 

Ivi jana ni lini vile looh itakuwa usiku wa jana alilewa sijui maana ata mimi imenichukua muda kuamini kama zingifuri ndio aliyeandika.
Au Ramadhan inabadilisha watu labla.
 
Last edited by a moderator:
Na tutahitimisha kwa kumpeleka mjengoni Mheshimiwa Wema Sepetu kwanza ana akili kubwa tu kuliko wabunge wengi mizigooo wa ccm wanaojaza nafasi bure mjengoni kwa kuitikia tu ndioooooooo.

tunamuombea heriii Matola basi ukumbuke kupiga kura ili tumalize kisirani cha huyu jamaa asiyejua kujishusha kama king kiba
 
Last edited by a moderator:
Wewe usilete hizo lazima nikuquoooote, Diamond anakula makombo ya Ivan, mbunye ishatotowa watoto watatu kuna makombo zaidi ya hayo?


matola najua tutapishana hapa yakishapita tutarudi kama zamani lakin kwa sasa acha tuchafuaneni Tu dawa kwa dawa
 
matola najua tutapishana hapa yakishapita tutarudi kama zamani lakin kwa sasa acha tuchafuaneni Tu dawa kwa dawa

Wewe kaweke kambi kwenye kupiga kura au kajifariji mmu hapa celeb si sehemu rafiki kwenu wiki hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…