Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mleta mada umetumia justification gani kuona kwamba Diamond anachukiwa na watu wengi na ameshuka kimiziki?

Tuzo za watu?
Ktm?
Au kampeni ya kumpigia kura Davido?

Unajua kimuziki tuzo zinamaana kubwa sana kwa mwanamuziki lakini sio ndio kila kitu katika muziki
Kuwa tu nominated tayari wewe ni mwanamuziki ambaye kazi zako zinatambulika, yaani ni miongoni mwa wanamuziki bora

Hivi unavyo muona Diamond anayapitia pamoja na mafanikio yake yote awezi kufikia anayopiti Maywhether bondia kwa watu kumchukia tu sababu ya life style yake lakini watalipa mamilioni kwenda kumuona anachofanya ulingoni kuliko ambavyo wangekipa kidogo kwenda kumuona wanayedai wanampenda kwa few bucks

Leo diamond akisema anafanya show sijui kempisk kiingilio laki 5 watu watajaa na tiketi zitaisha
Akisema aende mbeya shughuli zitasimama kwa muda mapokezi na uwanja utafurika
Lakini hao mnaodhani wanaoenda hata kupata watu 500 tu nishida na kiingikio ni elf5 tu
 
Wew zingifuri umemshauri kweli ila mimi kura yangu hapati ng'ooooooo mpaka aombe msamaha

Mamii...piga kura mamii adhabu inatosha...kuwa na roho ya huruma... bbyloveeee..
Plzzzz
 
Last edited by a moderator:
Mamii...piga kura mamii adhabu inatosha...kuwa na roho ya huruma... bbyloveeee..
Plzzzz

Eti baby nyerere si alisema waafrika tupendane? Mimi nawapenda waafrika wenzangu na wasomi wenye degree kama davido. Najinyima kuhakikisha nimevote.
Baby na wew vote
 

Attachments

  • 1434547183588.jpg
    28.4 KB · Views: 123
Chuki haina sababu za msingi! kuwa kioo cha jamii sijui blah blah gani hazikupeni haki ya kumuhukumu mtu kiasi hicho, binafsi inawezekana ni mchafu kuliko Diamond/Wema ndio maana I won't point a finger. Maisha binafsi ya msanii hayanihusu na wala sitaki yanihusu, tabia mbaya kwangu ni ile inayoathiri wengine, hivyo kama Diamond ana tabia mbaya inayomuathiri mtu anatakiwa aache mara moja and not otherwise. Nimemfahamu Diamond kupitia Muziki hivyo nitasupport/kukosoa mziki wake tu na si kingine.
 
Eti baby nyerere si alisema waafrika tupendane? Mimi nawapenda waafrika wenzangu na wasomi wenye degree kama davido. Najinyima kuhakikisha nimevote.
Baby na wew vote

Bebe..samehe saba mara sabini.. dai ni binadamu, kama wewe.. hamna aliye kamili
 

Ushauri mzuri saana, kweli maisha ya mtu binafsi na mziki ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Bebe..samehe saba mara sabini.. dai ni binadamu, kama wewe.. hamna aliye kamili

Kama mwakani akifanikiwa kuingia kwenye izo tuzo nitampigia maana saivi ata akipata hana pa kuihifadhi
 
Kama mwakani akifanikiwa kuingia kwenye izo tuzo nitampigia maana saivi ata akipata hana pa kuihifadhi

We are Tanzanian.. cute b
We are one, hii kitu iwe ndani tu ya nchi, ikitoka nje tunasahau tofauti zetu,
Tunakuwa wamoja, leo ukifanya hivi hata sisi kesho kiba akiwa nominated international hatutapiga kura..
so lets not do that..
Pls cute b,
Wewe muhimu, kura yako muhimu saana
 
Last edited by a moderator:

Nyie wakaanga sumu mtakaa mumpigie kiba kura kweli? Sidanganyiki vote for davido sumbai
 
Last edited by a moderator:

Wera wera....masikini hana adui babu. ngoja azipatee...!
 
Uwiiiii, yakiandikwa kwa ndomo eti aandikiwe kwenye email, kwani yale mnayoandikaga kuhusu Kiba humu wanashindwa kumwandikia kwenye email??? Huhuhuuuuuuu mtenda akitendwa!!

Hahahahaaa, eti aandikiwe wapi? Kwenye email?
Umenivunja mbavu atoto.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa, eti aandikiwe wapi? Kwenye email?
Umenivunja mbavu atoto.

Mwenzangu we acha tu, vibaya vyote vya kiba, cha ajabu wanacholaumu ndicho hicho hicho wanakifanya kwa kiba sasa sijui Kiba sio binadamu wala mtanzania, yaani nacheka mpaka basi
 
Last edited by a moderator:
Yaani watu wanavyotukanana na kutiana vijembe humu, sioni tofauti ya JF na Insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…