Mleta mada umetumia justification gani kuona kwamba Diamond anachukiwa na watu wengi na ameshuka kimiziki?
Tuzo za watu?
Ktm?
Au kampeni ya kumpigia kura Davido?
Unajua kimuziki tuzo zinamaana kubwa sana kwa mwanamuziki lakini sio ndio kila kitu katika muziki
Kuwa tu nominated tayari wewe ni mwanamuziki ambaye kazi zako zinatambulika, yaani ni miongoni mwa wanamuziki bora
Hivi unavyo muona Diamond anayapitia pamoja na mafanikio yake yote awezi kufikia anayopiti Maywhether bondia kwa watu kumchukia tu sababu ya life style yake lakini watalipa mamilioni kwenda kumuona anachofanya ulingoni kuliko ambavyo wangekipa kidogo kwenda kumuona wanayedai wanampenda kwa few bucks
Leo diamond akisema anafanya show sijui kempisk kiingilio laki 5 watu watajaa na tiketi zitaisha
Akisema aende mbeya shughuli zitasimama kwa muda mapokezi na uwanja utafurika
Lakini hao mnaodhani wanaoenda hata kupata watu 500 tu nishida na kiingikio ni elf5 tu