Wanajifanya wana furaha kumbe moyon wanaumia..
Bora awe mshabiki wa bambo atleast atacheka
ata= hataYaani bora ata mimi mtoto wa kike wew wa kiume utasemaje? Maana ni mbea adi ata tembea yako ishakuwa ya kidada dada acha niishie hapo .
Umesema nyie mnacheketua tu au sio???
...na hapa umeandika nn, au ulijisahau???
Over my dead body.
Mimi hapa kwa Ali, Weusi, Ben pol...hunitoiii
Team good music.Huyo mjanja mjanja hajui kitu
Hatulali tunasubiri daku, karibuMtasemaaaa weee
Mtalala.
hahahaaaa TEAM STRESS wanajikanyaga wenyeewee
Unajipa promo tu humu hata hamna anaekujua bana, unaaga unarudi unaaga unarudi umelewa????Hahahaaaaa niwaambie kitu...umbea na unafiki na undumilakuwili sio mzuri. Nyie hamna tofauti na nyoka kila siku tunacheka ila ni majoka ya kufa mtu. Acheni unafiki midomo ishakuw kama ya kunguru hamtosheki tuu? Na nyie wanaume kuweni na tabia za wanaume jaman umbea na unafki waachieni wakina dada hampendezi bado mna tabia za kivulana.
Bakini na huu wimbo from mr nice
Kikulachooo kumbe ki nguoni mwakooooo..
Rafiki yakoo kume ni adui yako.....
Unakula nae unacheka nae kumbe mwenzako anaona geree eee eeee..
Sina muda wa ku argue na wanafiki nisije nikapata ban bure kwaherinj
Marhabaa, hujambo binti.
Hatulali tunasubiri daku, karibu
Humu humu na skonga imo, masahihisho namalizia na fimbo mbili za mgongo ha ha ha
Sijakuhamkia.
Hilooo utangoja sana.
Kakojoe ulale.Sitaki kesi na mtu.
Sinta poteza muda wangu tena na cute b . Ni zaidi ya mrozi.
Nna mashaka kama hatembei na tunguli.