Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hivi kuandika kule anawapa stress, then mkija apa mnasema kule full kucheketua......SIO UNAFIKI HUU??????

Kusoma kuelewa.
Alamsiki! Sitaki mashindano ya maneno, kwa kukurupuka tu siwawezi, hamna upinzani.
Yani sisi ni Wanafiki hakuna mfano...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€:thumbup:
 
Well, team Kiba hatunaga unafiki.Kama Kiba tu tunamfyatukia ndio mjue tupo real.
Hizi kelele za chura hazimzuhii ng'ombe kunywa maji.

Waambie mamy wamezoea unafiki kukumbatia maovu kisa ushabiki tuu.
Waulize kama wanajua maana ya sankoro kama wanajua eti wanapenda mziki upi huo wasiojua maana yake?
 
Waambie mamy wamezoea unafiki kukumbatia maovu kisa ushabiki tuu.
Waulize kama wanajua maana ya sankoro kama wanajua eti wanapenda mziki upi huo wasiojua maana yake?

Kuulizana na hawa watu wasioelewa ni sawa na kudeki bahari.
 
Hivi kuandika kule anawapa stress, then mkija apa mnasema kule full kucheketua......SIO UNAFIKI HUU??????

Unafiki ni huu mlio nao nyie hapa alafu idadi ya wanaume kweli inapungua maana na wew adi mwandiko wako ushakaa ki kike kike badilika kuwa mwanaume
 
(non-sen-si-cal
Translate Button
[non-sen-si-kuh l]
adjective
1.
(of words or language)
having little or no
meaning; making little or
no senseπŸ™‚

darasa bila ada, karibu tena.

Sikaribii tena.
 
Kuulizana na hawa watu wasioelewa ni sawa na kudeki bahari.

Hahahaaa na kweli yaani apa pamejaza mambumbumbu nitatoa msaad waende memkwa yaani ni mibichwa mikubwa tuu wamebeba ila akili kisude
 
Waambie mamy wamezoea unafiki kukumbatia maovu kisa ushabiki tuu.
Waulize kama wanajua maana ya sankoro kama wanajua eti wanapenda mziki upi huo wasiojua maana yake?

Mwambie anavokuja kuuliza aje na maana ya 'dushelele'....
 
Kusoma kuelewa.
Alamsiki! Sitaki mashindano ya maneno, kwa kukurupuka tu siwawezi, hamna upinzani.
Yani sisi ni Wanafiki hakuna mfano...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€:thumbup:

Hahahaaaaa mizee ya kukurupuka hiyooo ikipata habari haijui kufanya reseach inaongoza tuu kichwa mbele kama cobra kuandika gazeti.
Ila mamy team kiba tunawapa stress sana yani na watakoma ndio mwanzo tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…