Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Mkuu angalia vizuri bana AY hajampa Promo V money peke ake mtv kuna moja pia kampa support Chibu pia
 

AY namheshimu sana ila naona anaanza kuwa mswazi.

So far anapotea taratibu hahahah atabaki jina.

Aache ujinga yeye ni legend hapa bongo atoe sapoti kwa vijana wake bila ubaguzi.
 
angalia vizur kampa sapoti dangote mbona
 
angalia vizur kampa sapoti dangote mbona

Mkuu angalia vizuri bana AY hajampa Promo V money peke ake mtv kuna moja pia kampa support Chibu pia

Kama ameandika ktk caption ndio nini, wengi upitia na kubonyeza picha au kideo kusoma kikiwavutia.

Picha nyingi zipo instagram hata humu za kutangaza ni tuzo gani anawania kwa nini hajarusha? Mie ndio hilo tu.

Kama ya chameleone ameweka ameshindwaje ya Chibu. Wivu tu umewajaa
 

Kweli kabsa sio a.y hata mwana fa nae
 
Katika pita pita zangu gazeti kubwa la Kenya
 

Attachments

  • 1436120836806.jpg
    64.3 KB · Views: 149

Ile wishes ya happy birthday hadi mwili umenisisimka aisee, he is too humble chibu wetu jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…