Basi sawa, nitakupitia hapo mwisho wa mwezi!ulijuajeeeee....nshapelekwa Chiungutwa tayari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa, nitakupitia hapo mwisho wa mwezi!ulijuajeeeee....nshapelekwa Chiungutwa tayari...
Chibu kampa happy bday AY na kumshukuru kwa kumintroduce kwa Godfather etc, ila nilivyoingia kwenye insta ya AY nimekuta hajawahi kumpa sapoti hata kamoja recently katika kuwania tuzo.
Nahisi lazima ameingia wivu nae, sababu Chibu yupo clean na ameandika ujumbe mzuri tu kama kawaida ya mtu atafanya kushukuru. Ila AY sasa ndio kwanza anampa promo wa Uganda kupigiwa kura na vanessa tu sio Diamond. Kweli wivu mbaya, kwa hiyo wote wakae chini wasing'ae au?

angalia vizur kampa sapoti dangote mbonaChibu kampa happy bday AY na kumshukuru kwa kumintroduce kwa Godfather etc, ila nilivyoingia kwenye insta ya AY nimekuta hajawahi kumpa sapoti hata kamoja recently katika kuwania tuzo.
Nahisi lazima ameingia wivu nae, sababu Chibu yupo clean na ameandika ujumbe mzuri tu kama kawaida ya mtu atafanya kushukuru. Ila AY sasa ndio kwanza anampa promo wa Uganda kupigiwa kura na vanessa tu sio Diamond. Kweli wivu mbaya, kwa hiyo wote wakae chini wasing'ae au?
angalia vizur kampa sapoti dangote mbona
Mkuu angalia vizuri bana AY hajampa Promo V money peke ake mtv kuna moja pia kampa support Chibu pia
Kama ameandika ktk caption ndio nini, wengi upitia na kubonyeza picha au kideo kusoma kikiwavutia.
Picha nyingi zipo instagram hata humu za kutangaza ni tuzo gani anawania kwa nini hajarusha? Mie ndio hilo tu.
Kama ya chameleone ameweka ameshindwaje ya Chibu. Wivu tu umewajaa
Demu mwenywe si ndo huyu hapa 😀😀😀😀😀😀
OMG! You're so sweet my princess... I hate being this way sema ndo vile tena mambo mengine ni inevitable!
Hahaha black beuty mondi akapige tu 😀😀😀😀 kama house gelo duh
Hey guyz , are we still sailing in a loveboat?
Chibu kampa happy bday AY na kumshukuru kwa kumintroduce kwa Godfather etc, ila nilivyoingia kwenye insta ya AY nimekuta hajawahi kumpa sapoti hata kamoja recently katika kuwania tuzo.
Nahisi lazima ameingia wivu nae, sababu Chibu yupo clean na ameandika ujumbe mzuri tu kama kawaida ya mtu atafanya kushukuru. Ila AY sasa ndio kwanza anampa promo wa Uganda kupigiwa kura na vanessa tu sio Diamond. Kweli wivu mbaya, kwa hiyo wote wakae chini wasing'ae au?
Hahaha black beuty mondi akapige tu 😀😀😀😀 kama house gelo duh
Hahahaaa mcute mbona jamani? Ningekuwa mi ningepiga tyuuu, kwani nini bana si nini tu!
Hahaha anapigika tu sio mbaya tena nahisi kafungasha back" inshu c nyapu tu haha
Katika pita pita zangu gazeti kubwa la Kenya
Can't wait to see kaprincess jamanii,,,
Itakua shida mtt wa kwanza to the throne anazaliwa" le chibu's Princess